Na Mwandishi wetu,Pwani.
*Asisitiza Watanzania wanataka umeme*
*Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo
*TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi*
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza U… Read More
Na Munir Shemweta, Ludewa
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) Dkt Angeline Mabula amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutangaza mafanikio ya serika… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ametoa msaada wa Majiko ya Gesi 250 kwa Mama Lishe Wilaya ya Kahama ili kuwarah… Read More
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tanga Alhaj Hasani Ramadhani Mbezi akifungua Kikao cha Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tanga kilichoketi kupokea Taarif… Read More
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba (watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea gawio la Shilingi bilioni 24.6 kutokana na uwekezaji wa Serikali Kuu kwa kushi… Read More
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga(UVCCM) Ramadhan Omary kulia akiwa na jembe akishiriki kulima na vijana kwa niaba ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vija… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu Dkt. Hassan Abbasi wameungana na wadau wa sekta ya utalii jijini Arusha leo usiku huu April 14, 2023… Read More
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi ambaye ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akivishwa Scarf mara baada ya kuwasili ofisi ya CCM mkoa… Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara Dkt. Hashil Abdalah akizungumza katika kikao na wadau wa uzalishaji wa sukari chini kilicholenga kufahamu hali ya uzalishaji wa sukari nc… Read More
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akizungumza kwenye ufunguzi wa mbio za Marathon kuelekea uchaguzi Mkuu ngazi ya UVCCM unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,20… Read More
Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira ,Vijana na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi ,akizungumza wakati wa hafla ya kuapisha viongozi wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu… Read More
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekabidhi Pikipiki Nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma zenye thamani ya Shilingi Milioni 21 kwa ajili… Read More
Mkoa wa Mwanza umevuka lengo la kitaifa la utoaji chanjo kamili ya UVIKO-19 kwa wananchi ambalo ni asilimia 70 ifikapo mwezi Disemba mwaka 2022.Mganga Mkuu Mkoa Mwanza, Dkt. Thomas Rutachunz… Read More
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa ,Abdulrahman Kinana (wa tatu kulia) akiwa na viongozi Waandamizi wa Taaisis na Shule ya Mwalimu Nyerere pamoja na Wageni waalikwa wakifuat… Read More
*************************Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi leo Septemba 15, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Taasisi ya Music in Afri… Read More
Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Tulia AcksonWabunge 19 wa CHADEMA waliovuliwa Uanachama**SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amewakingia kifua wabung… Read More
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima akiongea na chama cha madaktari wanawake Tanzania(MEWATA) katika Mkutano wa 19 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Dodoma.Waziri Dkt. Dorothy Gwajima akiongea na ch… Read More
Banda la kituo cha elimu ushauri na msaada wa kisaikolojia cha Taasisi ya Ustawi wa Jamii lililopo katika uwanja wa ukumbi wa Jiji ilala ambapo huduma ya ushauri na elimu inatolewa bure kwa… Read More
Ama kwa hakika siasa hapa nchini Kenya huwa na wenyewe jinsi watu wanavyosema. Kila mara nilipowaona wanasiasa wakishinda viti mbalimbali hapa nchini nilidhani ni swala rahisi tu bora kujiel… Read More
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo w… Read More
Waziri wa Kilimo Mhe. Prof. Aldolph Mkenda,akizungumza wakati akizindua rasmi Kongamano la Pili la Kimataifa la Ushirika lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Septemba 01… Read More