Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Timu nane zilizofanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017

Hatimae michezo ya hatua ya 16 bora hatua ya marudiano ya Uefa Europa League imemalizika usiku wa March 16 2017 kwa michezo nane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano.
Kujua timu ipi itacheza na timu gani na kama itaanzia nyumbani au ugenini itajulikana kesho mchana baada ya kuchezeshwa droo, UEFA kesho watachezesha droo mbili ya kwanza itakuwa ya UEFA Champions League na baadae itakua ya UEFA Europa League.
Matokeo ya mechi zote nane za UEFA Europa League hatua ya 16 bora zilizochezwa usiku wa March 16 2017.
11:05 PM - 16 Mar 2017
4 17
millard ayo
@millardayo
Timu nane zilizofuzu kucheza robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017
1. KRC Genk
2. Celta Vigo
3. Besiktas
4. Ajax
5. ManUnited
6. Olympique Lyon
7. Anderlecht
8. Schalke 04This post first appeared on HABARI ZA SIASA NA MUZIKI, please read the originial post: here

Share the post

Timu nane zilizofanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017

×

Subscribe to Habari Za Siasa Na Muziki

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×