Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

SOMO LA MSINGI.

HATARI INAYOTUTENGA NA MUNGU.

MHUBIRI: Winfrida Jonathan Rusama.
Luka 10:38-42
[38]Ikawa katika kuenenda kwao aliingia katika kijiji kimoja; mwanamke mmoja jina lake Martha akamkaribisha nyumbani kwake. 
Now it came to pass, as they went, that he entered into a certain village: and a certain woman named Martha received him into her house.
[39]Naye alikuwa na umbu lake aitwaye Mariamu, aliyeketi miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake. 
And she had a sister called Mary, which also sat at Jesus' feet, and heard his word.
[40]Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema, Bwana, huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumike peke yangu? Basi mwambie anisaidie. 
But Martha was cumbered about much serving, and came to him, and said, Lord, dost thou not care that my sister hath left me to serve alone? bid her therefore that she help me.
[41]Bwana akajibu akamwambia, Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi; 
And Jesus answered and said unto her, Martha, Martha, thou art careful and troubled about many things:
[42]lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hataondolewa. 
But one thing is needful: and Mary hath chosen that good part, which shall not be taken away from her.



This post first appeared on Huruma Baptist Church Of Mwilamvya, please read the originial post: here

Share the post

SOMO LA MSINGI.

×

Subscribe to Huruma Baptist Church Of Mwilamvya

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×