Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Education Blogs  >  Schools & Colleges Blogs  >  LYUSA SECONDARY SCHOOL schools-and-colleges Blog  > 

2013-04-27 13:42
Hatimaye baada ya miaka mitano (2008-2013)  kupita ujenzi wa maabara ya sayansi umeanza kwa kasi ya ajabu. Pichani ni mafundi wakiendelea na kazi yakujenga maabara hiyo.Mafundi wakiende… Read More
2013-04-27 13:31
Timu za mpira wa miguu (Wasichana) Kimali na Lyusa zikiwa katika mpambano mkali  na wakusisimua.Timu ya shule ya sekondari Kimali katika picha ya pamoja. Timu ya shule ya sekondari… Read More
2013-04-27 13:13
Timu za mpira wa miguu (Kimali na Lyusa Shule ya Sekondari) zikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mpambano ambao hadi unaisha timu ya Kimali ilikuwa ikiongoza. Timu ya shule ya… Read More
2013-04-21 14:17
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wamekwama baada ya mto kufurika maji.Hivi ndiyo mauzurio ya wanafunzi yanavyokuwa wakati wa msimu wa mvua Read More
2013-03-15 10:43
TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WASICHANA  KIMALI SEC  IKIJIANDAA KUCHEZA NA TIMU YA MEATU SEC.TIMU YA MPIRA WA PETE YA LYUSA SEC.WANAFUNZI WAKIELEKEZWA KUKIMBIA RIADHA SIKU YA UMISETA.W… Read More
2013-02-25 11:49
kijana huyu kwa jina Luhende Castory mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari lyusa ailiyopo katika kijiji cha nkoma wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu, Alikutwa na mpiga picha w… Read More
2013-02-25 11:46
Walimu wa Lyusa S.S wakiwa katika kibaraza cha nyumba yao kutoka kushoto ni Mwl Manamba C, Theresia Tembo, Kassim Maguluko, Geofrey Mbingamno na Mnzava T, pamoja na Jacob mtoto wa Mwalimu Ma… Read More
2013-02-22 12:43
Kidato cha Pili (2013)Kidato cha Nne (2013)Mechi iliyofanyika siku ya  Ijumaa tarehe 22/02/2013 kati ya kidato cha Pili na Kidato cha Nne. Kidato cha Pili walishinda goli 4-2 zidi ya ki… Read More
2013-02-22 12:18
Siku hiyo wenyeji waliitwa 1. Takataka 2. Wavuta madawa ya kulevya. KISA?? Wamehoji kuhusu ujenzi wa nyumba mpya ambayo haijaanza kujengwa Read More
2013-02-22 10:19
Huu ndio msingi wa jengo la maabara ya sayansi katika shule ya sekondari lyusa kama unavyoonekana katika picha msingi huo una miaka zaidi ya minne tokea umeanza kujengwa na haijulikani jengo… Read More
2013-02-21 07:04
Hawa ni baadhi ya popo wanaoishi kati paa la moja ya nyumba za  walimu shuleni hapa, Popo  wamekuwa wengi kiasi kwamba wanakua kero kwa wakazi wa nyumba hizo, wanasambaza utitiri… Read More
2006-06-07 11:16
MWALIMU THOBIAS YONAS MNZAVA ALIFARIKI TAREHE 16/08/2013 KATIKA WILAYA YA KISHAPU MKOA WA SHINYANGA KWA AJARI YA PIKIPIKI.MWALIMU THOBIAS MNZAVA KATIKA UHAI WAKE ALIAJIRIWA TAREHE 01/02/2012… Read More

Share the post

LYUSA SECONDARY SCHOOL

×

Subscribe to Lyusa Secondary School

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×