Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

KUTUMIA KING'AMUZI KIMOJA KWA TV ZAIDI YA 1


Ving'amuzi vyote unavyovijua wewe iwe vya bure ama vya kulipia, nikiwa na maana vyenye kulipia malipo ya mwezi na visivyo na malipo ya mwezi, unaweza kutumia king'amuzi kimoja kwa tv zaidi ya moja, kwa kutumia king'amuzi kimoja unaweza Kugawa Picha Kwa tv hata zikiwa 100.
Hii inawezekanaje!? kwanza unapaswa kujua ni king'amuzi gani ambacho unataka kugawa picha kwa tv zaidi ya moja,  chagua kwenye orodha hapo chini:-
  • Azam tv
  • Continental 
  • Digitek
  • DStv
  • StarTimes
  • Zuku tv
NB:Nitaweka link kwa kila king'amuzi ambayo itakupeleka mpaka kwenye post ambayo itakuwa na maelezo yote kwa kina.
Kwa Maelezo zaidi hii hapa +255789476655


This post first appeared on Mustapha MaDish Tech, please read the originial post: here

Share the post

KUTUMIA KING'AMUZI KIMOJA KWA TV ZAIDI YA 1

×

Subscribe to Mustapha Madish Tech

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×