Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

STARTIMES UNALIPIA KIFURUSHI HAKIFIKI MWEZI!?

Jinsi inavyokuwa:- Kuna aina tofauti ya vifurushi kwa king'amuzi cha Antenna na Dish pia
Watumiaji wengi wa king'amuzi cha StarTimes hulipia pengine 9,000 ama 6,000 na kutegemea Kifurushi alicholipia kiishi kwa muda wa mwezi mmoja,matokeo yake kinaenda wiki moja ama hata wakati mwengine hakifiki wiki malipo yanaisha na mtumiaji kutakiwa kulipia tena,hapa ndipo wateja wengi hutamani kukibeba king'amuzi na kukipiga chini!!!
Usichokijua ni kwamba:- Kifurushi ulichopo ni cha juu,yawezekana upo kwenye kifurushi cha Tsh 24,000 ama cha Tsh 36,000 hivyo inapotokea umelipia Tsh 9,000 ama Tsh 6,000 itahesabu siku hivyo haitafika mwezi channel zitakata!
Unachopaswa kufanya:- Ikiwa hujua upo kifurushi gani ni bora kufanya jambo moja la msingi upige simu kabla ama baada tu ya kulipia ili uhamishiwe katika kifurushi unachokitaka kikuwezeshe kufika mwezi mzima!
Kwa Maelezo zaidi!
+255789476655

This post first appeared on Mustapha MaDish Tech, please read the originial post: here

Share the post

STARTIMES UNALIPIA KIFURUSHI HAKIFIKI MWEZI!?

×

Subscribe to Mustapha Madish Tech

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×