Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Technology Blogs  >  Mustapha MaDish Tech technology Blog  > 

SAA 2 ASUBUHI - SAA 2 USIKU
2018-02-15 11:21
Mnaopata wasaa wa kutembelea blog hii naomba mlizingatie sana hili!Nimetoa uhuru wa mtumiaji wa king'amuzi chochote kile aweze kupata msaada kupitia blog hii, kwa post nitoazo ama laa kwa ku… Read More
HD - High Definition NI NINI!?
2018-01-07 10:47
HD kirefu chake ni High Definition - ni picha yenye ubora zaid ya SD kirefu chake ni Standard Definition kama kwa mfano unavyoonekana hapo chini! Ili uangalie katika mfumo wa HD ni lazi… Read More
TELEVISION AU RUNINGA NI NINI!?
2018-01-06 19:57
 Tv ya kijerumani ya mwaka 1956Neno "televisheni" linatokana na maneno mawili: tele (kutoka Kigiriki: kwa mbali sana) na visio (kutoka Kilatini: mwono; kwa pamoja yanaunda neno la Kiing… Read More
KING'AMUZI KISICHO NA MALIPO YA MWEZI
2018-01-04 13:25
Awali tulikuwa na ving'amuzi viwili ambavyo havikuwa na malipo ya mwezi, kulikuwa na Digitek na Continental, baadae Continental wakaanza mfumo wa kulipia na kuwa na Vifurushi pia kutaka kuju… Read More
KUTUMIA KING'AMUZI KIMOJA KWA TV ZAIDI YA 1
2018-01-04 11:53
Ving'amuzi vyote unavyovijua wewe iwe vya bure ama vya kulipia, nikiwa na maana vyenye kulipia malipo ya mwezi na visivyo na malipo ya mwezi, unaweza kutumia king'amuzi kimoja kwa tv zaidi y… Read More
OFFER YA ZUKU TV 2018
2018-01-04 05:43
Katika kumbukumbu yangu ilikuwa ili umiliki king'amuzi cha Zuku tv ni lazima ilikuwa uwe na Tsh150,000/= Bei ikashuka ikawa Tsh 105,000/=! Ikashuka tena kwa Tsh 95,000/=Kwa sasa OFFER iliyop… Read More
LNB NI NINI...??
2018-01-03 12:42
Kwenye Technology kuna vifaa ambavyo kuvitafutia lugha ya kiswahili moja kwa moja hakuna ila nitakachojitahidi kufanya ni kukupa urahisi ili uelewe pasi kutoka nje ya maana yenyewe.LNB ni ni… Read More

Share the post

Mustapha MaDish Tech

×

Subscribe to Mustapha Madish Tech

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×