Waswahili wanasema ahadi ni deni.. akina dada ambao wanafanya biashara ya kuuza miili yao Nigeria nao wanaahidi kutimiza ahadi yao ya kutoa huduma bure kwa wateja wao nchi nzima.
Chama… Read More
HOFU na mashaka vimeendelea kukomaa miongoni mwa wanataaluma pia
wananchi kutokana na uamuzi wa Chama Cha Wananchi (CUF) kugoma kushiriki
marudio ya uchaguzi visiwani Zanzibar.
Wakati CUF… Read More
Katibu Mkuu wa (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametoa madai mazito kuwa
matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar mwaka jana yalipinduliwa na
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Sal… Read More
Aliyekuwa Mgombea Wa Nafasi Ya Urais Akiungwa Mkono Na Vyama Vinavyounda Umoja Wa Katiba Ya Wananch Ukawa, Mh. Edwrad Lowassa Amesema Ni Vema Serikali Ikahakikisha Inapata Suluhu Ya Mgogoro… Read More
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais akiungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananch UKAWA, Mh. Edwrad Lowassa amesema ni vema serikali ikahakikisha inapata suluhu ya mgog… Read More
Chama cha Wananchi CUF, kimesema hakitarudi kwenye meza ya mazungumzo ya
kutafuta suluhu ya kisiasa visiwani Zanzibar hadi mchakato wa uchaguzi
mkuu wa marudio usitishwe.
Katibu Mkuu wa C… Read More
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar,
Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharrif Hamad amehoji sababu za
chama tawala, CCM kuhofia CUF kuongoza visiw… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema
amekaa kimya kwa muda mrefu kuhusiana na suala la Zanzibar kwa sababu
Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ni huru na hawez… Read More
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema ikitokea Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad ameshinda kwa
kupigiwa kura na akaibuka mshindi wa kiti cha… Read More
Maazimio Ya Kamati Kuu Ya ACT-Wazalendo Kufuatia Kikao Chake
Kilichofanyika Jumamosi 13 Februari 2016 Katika Hoteli Ya Kagame Jijini
Dar Es Salaam
Kamati Kuu ya Chama cha Wazalendo (ACT-W… Read More
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais Mstaafu Dokta J… Read More
Godbless Lema Afunguka Baada ya Ezekiel Wenje Kushinda Pingamizi la Mbunge Babula Kwenye Kesi ya Uchaguzi Mara tu ya Taarifa kusambaa kuwa Aliyeku… Read More
Chadema Yawafuata CCM Mahakamani....Yapinga Agizo la Jiji La Dar Kuwazuia Wananchi Kuingia Kwenye Ukumbi wa Uchaguzi wa Meya Chama cha Demokrasia na… Read More
WAKATI
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiendelea kusimamia uchaguzi haramu wa
marudio visiwani humo, Joseph Mbilinyi, Waziri Kivuli wa Habari,
Utamaduni, Vijana na Michezo anasema, Serik… Read More
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru uchaguzi wa meya na naibu meya wa Jiji
la Dar es Salaam, kufanyika leo kama ilivyopangwa.Hakimu
Mkazi Mkuu, Warialwande Lema alitoa uamuzi huo ja… Read More
Breaking News: Chadema Washinda Uchaguzi Kiti cha Umeya Jiji la Dar es Salaam... UchaguziMeyaDSM Isaya Mwita-CHADEMA mshindi wa Umeya jiji la DSM k… Read More
Zanzibar Yasema Iko Tayari Kufa Njaa Kuliko Kuwanyenyekea Wazungu Wanaoponda Uchaguzi wa Marudio Licha ya Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) kueleza k… Read More
Jaji Warioba Azungumzia Uchaguzi Mkuu wa 2015 Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana (2015) ulifanyika kwa haki huku akitaka vy… Read More
Maalim Seif Aendelea Kummwagia Lawama Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kwa Kupindua Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad ameende… Read More
INNOCENT-THE BLOGGER-BOYTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ufafanuzi kuhusu ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana, iliyowasilishwa na Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoj… Read More
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yawashukia Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU) TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ufafanuzi kuhusu ripoti ya… Read More
Manji na Sanga Wapeta Uchaguzi Yanga Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa Mwenyekiti wa Yanga anayetetea nafasi yake, Yusuph Manji anaongoza kwa kura 1,468, na hak… Read More
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hakuridhika na matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 25, na kwa kulijua hilo, ‘watawala’ wal… Read More
Lowassa Atoboa Siri Ya Ujio wa TB Joshua Nchini, Asema Aliitwa na CCM Kumshawishi Akubali Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward… Read More
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimesema kinatafakari hatua gani ya kuchukua baada ya Rais John Magufuli kutaka siasa za nguvu zifanywe wakati wa Ucha… Read More
Jana Julai 23, 2016 Rais Dokta John Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 100 kuwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa chama tawala CCM, na mtangulizi wake, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, kung'atuka ras… Read More
Afrique du sud-ANC yatarajia matokeo mabaya ya uchaguzi Image copyrightAFPImage captionMakao ya kuhesabia kura Afrika KusiniHuku matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa kimaeneo yakitarajiwa kutole… Read More
JUMANNE iliyopita inaweza kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu mbaya kutokana na uchaguzi mkuu nchini Marekani ambao mshindi alikuwa mgombea wa chama cha kihafidhina cha Republican, Donald T… Read More
GOLOLI ZATUMIKA KUPIGIA KURA UCHAGUZI WA GAMBIA Huenda Jambo Kubwa sana ulilojua kuhusu uchaguzi wa Gambia ni Kuondolewa kwa Kiongozi Nguli wa Nchi… Read More
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wanachama watano wa Chadema pamoja na watu wengine watatu wasio raia wa Tanzania waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhalifu wa kimtandao.Ha… Read More
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa kutaka pande zinazovutana ndani ya chama hicho kuteua kwa pamoja jina la mgombea… Read More
Image captionUrusi inalalamikiwa kudukua taarifa za uchaguzi wa Marekani 2016Mkurugenzi wa usalama wa Marekani James Clapper, kitendo cha Urusi kuingilia uchaguzi wa M… Read More
Baada ya kimya kirefu, hatimaye Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefunguka na kuelezea kuwa uamuzi aliouchukua wa kufuta uchaguzi wa Zanzibar wa mwak… Read More
Nachukua fursa hii kuwapongeza Sana kwa kazi kubwa mliyoifanya kwenye chaguzi ndogo za udiwani na ubunge zilizomalizika hivi punde nchi nzima. Ingawa hatukushinda hata kata moja katika ka… Read More
Na. Tundu Lissu Waheshimiwa na makamanda poleni kwa mapambano na hongereni kwa kazi kubwa mliyoifanya kwenye chaguzi hizi. Naona kila mmoja wetu anasikitika jinsi matokeo ambavyo yam… Read More
Na. Julius S. Mtatiro Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa inatetea kata 1 ya Duru, Babati. Kata zingine zote zilikuwa z… Read More
Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli amesema ushindi wa CCM wa ubunge na madiwani katika Uchaguzi Mdogo uliofanyika juzi nchini ni ishara ya ushindi wa chama chake katika… Read More
Dar es Salaam. Mkazi wa Vingunguti kwa Kombo, Ally Hussein (34) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh30,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuchana karatasi 23 za uc… Read More
Tundu Lissu, Masha Wataka Kujumuishwa Kesi ya Kupinga Uchaguzi TLS Wanasheria wawili wa jijini Dar es Salaam, Tundu Lissu na Lawrence Masha wamesema wa… Read More
Kudadeki..Lissu Azidi Kuinyoosha Serikali ya CCM,Aibuka na Hoja Hizi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa TLC Ambao Serikali Haitaki Yeye Agombee...!!!… Read More
Mahakama Yatupilia Mbali Kesi ya Kuzuia Uchaguzi wa TLS Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Onesmo Mpinzila pamoja na ma… Read More
Uchaguzi wa Wajumbe Tisa (9) watakaoiwakilisha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) unatarajiwa kufanyika katika Mkutano wa Saba wa Bunge unaotarajiwa kua… Read More
Baraza linapenda kuwataarifu wadau wa sekta ya Mafunzo ya Ufundi na Umma kwa ujumla kuwa udahili na uchaguzi wa wanafunzi kwa ajili ya masomo ya Astashahada na Stashahada mbalimbali yanayoto… Read More
Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na… Read More
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NASERIKALI ZA MITAATAARIFA KWA UMMATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSUUCHAGUZI NA UPANGAJI WA WANAFUNZI WAKUJIUNGA NA KIDATO C… Read More
Mgombea urais wa muungano wa upinzani Nasa Raila Odinga amewaambia wanahabari kwamba wamepata habari kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi IEBC ilidukuliwa na matokeo halisi kufanyiwa ukarabati… Read More
Jana, Septemba 07, 2017, majira ya mchana, zilipatikana taarifa kwamba Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mbunge wa Singida Mashariki, Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani, na Rais wa… Read More
Uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwe… Read More
BWANA YESU ASIFIWE!Hatimae unabii aliyotabiri Nabii Hebron umetimia na kuelezwa na BWANA YESU mwaka 2013 kuhusu uchaguzi uliyopita. YESU alimwambia uchaguzi utarudiwa tu na leo umetimia kupi… Read More
Mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka juzi nilipata ujumbe kutoka kwa watu kadhaa wakinieleza kuwa kwa namna moja au nyingine niliwasaidia kufanya maamuzi ya kumpigia kura aliyekuwa mgombea w… Read More
The Student's Admission Verification for those who expected to join Health and Teacher Government Institutions for Second Round has been completed, You can view results of this selection fro… Read More
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AWAMU YA TATU YA UDAHILI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatangaza kuwa Awamu ya Pili ya Udahili wa waombaji wanaotaraj… Read More
Mtanange wa watani wa jadi kati ya Yanga SC na Simba SC almaarufu kama Kariakoo derby umemaliza uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kwa timu zote kutoshana nguvu kwa sare ya 1-1.Alikuwa mny… Read More
Pasipo kutarajiwa, jana, Jumatatu ya Oktoba 30, 2017, anga za habari huko nyumbani Tanzania zilitawaliwa na habari moja nzito: mmoja wa wana-CCM maarufu, Mbunge kwa tiketi ya chama hicho taw… Read More
Jana Januari 9, 2018, wiki moja na siku mbili baada ya kuanza kwa mwaka huu mpya, duru za siasa za Tanzania zilitikiswa na habari kuhusu kiongozi maarufu wa Chadema, Waziri Mkuu wa zamani Ed… Read More