Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Na Mariam Kagenda - Kagera
Ikiwa ni mwendelezo wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo Wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Fatma Mwassa amepongeza ukamilishaji majengo ya… Read More
Na Alex Sonna-SINGIDA
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA), imetaja mikakati yake ya kuimarisha upatikanaji wa maji na uondoshaji wa majitaka ikiwamo kutekelezwa k… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM- Taifa Donard Megitii amewataka Wafugaji wa kuku nchini kuongeza uzalishaji wenye tij… Read More
Na Okuly Julius-Dodoma
KATIKA kukabilia na ongezeko la ajali za barabarani nchini Chuo cha Udereva cha WIDE kwa kushirikiana na Serikali ya wilaya ya Chamwino wameanzisha programu ya m… Read More
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Kilimo Biashara wa Benki ya CRDB, Ndugu Maregesi Shaaban alipotembelea… Read More
Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kikiendelea
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko… Read More
Na Mariam Kagenda _ Kagera
Wakazi zaidi ya 5000 wa kata ya Kitobo wilaya ya Missenyi mkoani Kagera wameondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na sala… Read More
Kutokana na mtindo wa maisha kubadilika sana ulimwenguni kutokana na ukuaji wa teknolojia, watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kuvimba kwa miguu.
Mimi ni miongoni mwa watu wa… Read More
Vituo vya taarifa na maarifa Wilayani Kishapu Mkoani Shinyangan vikiwa kwenye picha ya pamoja na kibao cha SIDO,Agosti 13,2023 wakiwa kwenye ziara na TGNP.
Na Halima Khoya,Kishapu
Mtanda… Read More
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Tanga (RTO) Wiliam Mwamasika akizungumza wakati kuelezea mpango kazi wa Usalama barabara kwa Jiji la Tanga unaendeshwa na Shirika la Amend… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Juhudi za kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yanayotokana na wanaume kufanyiwa tohara za kimila katika Wilaya ya Serengeti Mkoani Mar… Read More
Na Faraja Masinde, Muheza
Jamii imetakiwa kumtazama ndege aina ya bundi kama fursa na kubadili dhana iliyojengeka kuwa ni uchuro anapotua kwenye makazi.
Hayo yamebainishwa juzi wilayani Muh… Read More
Na Shemasi George Rugambwa- Seminari ya Ntungamo, Bukoba
Leo TEC imetoa tamko lake kuhusu mkataba wa kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai. Tamko lake limeelezewa kwa… Read More
******************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imewakutanisha Waandishi wa habari na viongozi wa Vituo vya Taarifa na Maarifa kwaajili ya kujadi… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Siah Malle akitoa tathmini ya miradi ya kiuhandisi iliyobuniwa na wahandisi vijana wa kike katika na Maonesho na Kongamano la 8 la Wanawake Wahandisi Tanzania (TAWECE) yaliyofanyika Zanzib… Read More
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko leo Agosti 24, 2023 ametembelea na kuzungumza na watumishi wa Ofisi ya Madini Mkazi Mkoa wa Mtwara.
Aidha, Dkt.Biteko amekutana na kuzungumza na Uongo… Read More
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Kheri James ameongoza msafara wa kukagua mradi wa kuvuna ukungu na maji uliopo mkoani Manyara wilaya ya Mbulu.
Ziara hiyo ilifanyika Leo Agost 23,2023 ikiongozwa… Read More
Waziri wa Ardhi Mhe. Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao cha wakuu wa mikoa na makatibu tawala kinachoendelea katika chuo cha uongozi cha Mwalimu J K Nyerere kibaha mkoani Pwani tar… Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Eng. Anthony Sanga katika Picha ya pamoja na Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Maimbo Mdolwa mara baada ya mazungumzo ya… Read More
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo),Dkt Daniel Mushi akiongea na uongozi na wafanyakazi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd kilichopo wilaya… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, ameshiriki mahafali ya darasa la saba ya Shule ya Msingi Mahambe na kukabidhi madawati 44 yenye thamani ya Shilingi Milioni 2.8 ili kuondoa ch… Read More
Afisa Mawasiliano wa TGNP, Monica John akifungua Semina ya Waandishi wa habari kuelekea tamasha la 15 la kijinsia nchini ambalo litaanza Novemba 7-10, 2023 katika Viwanja vya Mtandao wa Jin… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akikabidhiwa ua na Katibu Muhtasi wa Wizara hiyo Joyce Mruma mara baada ya kuwasili ofisi za wizara hiyo eneo la Mtumba jiji… Read More
Ndoa au mahusiano sio jambo ambalo tunapaswa kuingia kwa kasi, ndoa nyingi zina shida leo kwa sababu mtindo wa maisha wa watu wawili wanaohusika hauendani.
Kuchumbiana ni utaratibu ambao… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Dkt Angeline Mabula katika ofisi za wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma… Read More
Maendeleo ya Teknolojia yamekuja na manufaa makubwa lakini papo hapo katika uandishi wa kazi za kitaaluma yameleta changamoto nyingi ikiwemo utengenezaji wa machapisho kupitia akili bandi… Read More
Na Mwandishi wetu - Dar es Salaama
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zai… Read More
*Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
*Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
*TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kucho… Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama.(kulia) akimsikiliza Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw.George Lugome wakati akielezea kuhusu kazi ya mtam… Read More
Na. WAF, Mtwara
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu Septemba 13, 2023 ametembelea Hopsitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula na kukagua miradi ya jengo jipya la upasuaji, jengo… Read More
Na Mwandishi wetu Arusha
Mkuu wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) Prof. Eliamani Sedoyeka leo tarehe 15 Septemba 2023 ametoa rasmi ripoti ya utendaji kazi ya mwaka wa fedha 2022/2023… Read More
Afrika Kusini na Marekani zitaanza majaribio ya chanjo mpya ya kuzuia VVU na zimeanza kuwaandikisha washiriki kushiriki katika majaribio ya kimatibabu.
Kulingana na shirika la utafiti la… Read More
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Hamza Johari (katikati) akisaini Kandarasi ya Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Utoaji wa Taarifa za Anga na Kampuni ya Indra Avitech w… Read More
Asilimia kubwa ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), wana uwezo mkubwa wa kuchanganua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokabili jamii yetu.
Hayo yamesemwa na Wazi… Read More
Na Mwandishi wetu - Songwe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara amewahakikishia wadau wanaotumia kituo cha forodha Tunduma kuvusha mizigo kupitia Nakonde upande wa Za… Read More
Maafisa wa Shirika la Viwango Tanzania wakitoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara wa kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga kuhusu umuhimu wa kusoma taarifa kwenye vifungashio ikiwem… Read More
Balozi wa Korea ya Kusini Kim Yong Jung akiwa na Mjumbe wa Bodi ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) Capt. Adrew Matilya akishuhudia utiaji Saini wa Makubaliano ya Mafunzo kati ya chuo… Read More
*Mkurugenzi Mkuu abainisha mafanikio lukuki, asema yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
*TEF yakoshwa na utendaji wa NSSF yapongeza kazi kubwa i… Read More
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi (TRA) Bw. Richard Kayombo (kulia) wakiangalia jinsi ya kuskani kinyw… Read More
Na mwandishi Maswayetu blog;
Baada ya Serikali ya Jamhuri ya MUUNGANO kuhakikisha
kwamba nafasi za kazi zote Tanzania zinatolewa kwa usawa na uwazi kwa vijana
wote wanaopambana kutafuta k… Read More
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), Stephen Mhando akimpatia maelezo Waziri wa Madini, Anthony Mavunde kuhusu baadhi ya miradi inayotekelezwa na GGML ikiwa… Read More
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
BENKI ya CRDB Tawi la Shinyanga imeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, huku akiahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Maadhimisho yao yamefanyika leo O… Read More
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
KUELEKEA tamasha la 15 la jinsia Novemba 7-10, 2023 na Tapo la Ukombozi wa mwanamke Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) unajivunia mafanikio ya baadhi ya sheria… Read More
Makamu wa Rais wa pili Zanzibar, Hemed Suleiman (kushoto) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi mtendaji wa GGML, Terry Strong baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa jumla katika maonesho ya tekno… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 5 Oktoba, 2023 ameshiriki Mkutano wa 66 wa Kibunge wa Jumuiya ya Madola (CPC) unaoendelea katika… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya opereshen… Read More
Na. Jacob Kasiri- Kitulo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Benedict Wakulyamba amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa uhifadhi uliotukuka na u… Read More
Chuo cha Uhasibu Arusha [IAA] Kimeanza kutoa Masomo ya Ujasiriamali Kwa Vijana wanaojiunga na chuo hicho kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuweza kujiajiri pindi wanapo hitimu masomo katik… Read More
SWALI: Nimesikia hili neni Rhema, likitajwa sana Kwa watumishi na sehemu mbalimbali, naomba nifahamishwe maana yake Nini, mbona silioni kwenye biblia? JIBU: Ni vema kutambua kuwa Biblia, kat… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mh. Jaffar Shekimweri na Katibu Wa Ccm Mkoa wa Dodoma Mh. Pili Augustine Mbanga ni miongoni mwa viongozi walioguswa… Read More
Kuhadaa ni kudanganya, au kulaghai, kutumia njia isiyosahihi/ ya mkato kufanikisha au kupata jambo. Neno hilo utalipata katika vifungu hivi baadhi; Mwanzo 31:20 “Yakobo akamhadaa Laban… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong akiwa pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo Vallence Ibrahim wakiongoza matembezi hayo ambayo yalishirikisha baadhi ya wafanyakazi na wak… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Na Kadama Malunde &nda… Read More
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC),akizungumza na Vijana wote nchini kupitia mkutano maalum uliofanyika katika tarehe 2… Read More
Jibu: Neno “Novena” limetokana na neno la kilatini “Novem”… lenye maana ya “Tisa”(9). Madhehebu baadhi ikiwemo Katoliki na Orthodox yamelitohoa nen… Read More