Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Sports Blogs  >  mchambuzi@habari online sports Blog  > 

Mchambuzi@habari Online Blog


mchambuzihotnewz.blogspot.com
"Hii ni blog makini toka Tanzania, itakayokupatia habari za Tanzania, Afrika na Dunia,Michezo ya bongo,Burudani,Udaku wa bongo, Matukio na Elimu."
Jack Wilshere Nje Wiki Sita
2014-03-07 05:43
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Arsenal Jack Wilshere atakosa kucheza wiki sita baada ya kupata jeraha la mguu katika mechi aliyochezea England hapo juzi iliposhinda Denmark bao moja kwa bila… Read More
Obama Na Putin Wajadiliana Kuhusu Ukraine
2014-03-07 05:28
Rais Obama amefanya mazungumzo zaidi ya kina na rais wa Urusi Vladmir Putin akisistiza kuwa vitendo vya nchi yake katika jimbo la Crimea ni ukiukaji wa mipaka na uhuru wa taifa la Ukraine.Wa… Read More
Carles Puyol Kutimka Barcelona
2014-03-05 12:22
Nahodha wa klabu ya Barcelona Carles Puyol ametangaza atawahama mabingwa hao wa Hispania mwishoni mwa msimu huu.Puyol mwenye umri wa miaka 35 aliibukia kutoka vikosi vya vijana wa Barcelona… Read More
Mkenya Lupita Nyong'o Anyakua Tuzo Ya Oscar
2014-03-03 12:17
Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea masaibu ya Patseh kati… Read More
Boko Haram Wauwa Wanafunzi Nigeria
2014-02-25 16:23
Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria wametuhumiwa kushambulia shule moja na kuwaua wanafunzi kadhaa.Polisi nchini Nigeria wameliambia Shirika la Habar… Read More
Wenger
2014-02-22 12:43
Kocha wa Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger, amesema kuwa mshambulizi Mesut Ozil angali anajutia kukosakufunga penalti dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu barani ulaya Bayern Mu… Read More
Olympic Games Underway In Sochi
2014-02-08 17:57
The official 16-day competition at the Sochi Winter Olympics begins Saturday when gold medals in five sports will be contested.The Games in Russia's Black Sea resort city kicked off Friday w… Read More
Mario Baloteli Kutua Arsenal?!
2014-02-05 19:18
Kuna uwezekano mkubwa wa Mario Baloteli kutua Arsenal dirisha lijalo baada ya kampuni ya PUMA kutia mkono wake.Kampuni ya puma imesema iko tayali kutoa sehemu ya pesa ili Mario Baloteli atue… Read More
2006-06-07 11:16
Magoli manne yametosha kuipeleka Arsenal nusu fainali ya FA itakayochezewa katika uwanja wa Wembley. Ikiwa inacheza na Everton mchezo ulionekana kuwa mgumu kwa Arsenal katika kipindi cha kwa… Read More

Share the post

mchambuzi@habari online

×

Subscribe to Mchambuzi@habari Online

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×