Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Watumishi 19 Wanaotumia nguvu za giza watabiriwa kufariki kabla ya mwezi wa tatu 2018


Wimbi la Watumishi feki linazidi kuitikisa dunia nzima. Wakati mwingine inakuwa ni vigumu kuwatambua watumishi wa kweli wapoje na watumishi wa uongo wakoje hasa ikizingatiwa kuwa kila kona kuna mtumishi anayejiita nabii. Miongoni mwao wapo wanaotambulika moja kwa moja kuwa ni manabii wa uongo kutokana na matendo yao pamoja na mahubiri yao. Wengine ni vigumu kuwatambua kutokana na kuhubiri ukweli uliochanganyika na uongo ndani yake ila kwa kuwachunguza matendo yao kwa kina utaweza kuwatambua ikiw ni watumishi wa MUNGU wa kweli au ni watumishi wa shetani.

Habari Njema ya  Unabii Wa Kweli.
Habari njema ya kinabii ni kwamba imatabiriwa kabla ya mwezi wa tatu 2018, Watumishi 19 wanaotumia nguvu za giza (Wachawi) kuwadanganya wana wa MUNGU Tanzania na dunia nzima watakufa kabisa. Unabii huu umetolewa na Nabii Hebron wa Kanisa La Yesu Ni bwana Na Mwokozi Wa Mataifa Yote arusha. Uyaonapo hayo mtukuze MUNGU kwakuwa yupo kazini kuhakikisha watu wake waliopotezwa na watumishi wa uongo wanarudi hemani mwake.
Tazama full Video hapa.
This post first appeared on UNABII WA KWELI, please read the originial post: here

Share the post

Watumishi 19 Wanaotumia nguvu za giza watabiriwa kufariki kabla ya mwezi wa tatu 2018

×

Subscribe to Unabii Wa Kweli

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×