Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
MKUU wa Idara ya Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga Sharifa Coshuma akizungumza wakati akifungua mafunzo ya watalaka na watalakiwa yaliandaliwa… Read More
Sheikh maarufu Manispaa ya Shinyanga na Kanda ya Ziwa kwa ujumla Sheikh Msafiri Kitumbo ambaye pia ndiye Mratibu wa Maulid za Mtume Mohamed S.A.W Kanda ya ziwa amempongeza na kumfananisha… Read More
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kw… Read More
Makamu wa Rais wa pili Zanzibar, Hemed Suleiman (kushoto) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi mtendaji wa GGML, Terry Strong baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa jumla katika maonesho ya tekno… Read More
Watu wengi wanapofikia hatua ya kuomba, wanashindwa kuomba vizuri au kudumu kwa muda mrefu, sio kwamba hawana nguvu za rohoni, hapana bali wakati mwingine ni kwasababu wanakosa mwongoz… Read More
*Ni baada ya UNFPA na UK AID kuikabidhi vifaa vya uzazi wa mpango
Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital
Serikali imeeleza kuwa itaendelea kuunga mkono uzazi salama kwani unasaidia afya ya mam… Read More
Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali duniani wanaamini kwamba kun… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa maonesho ya sita ya tek… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella,akimtishwa Ndoo ya Maji Mwananchi mara baada ya kuzindua mradi wa Maji unaosimamiwa na Counsenuth wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi… Read More
Je, umewahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati maishani?, ukweli ni kwamba kuna watu wana bahati sana katika maisha yao, unaona kila jambo analofanya anafanikiwa.
Anaanza biashar… Read More
Msimamizi wa kituo cha Afya cha Bikra Maria Mama wa Tumaini (BMMT) na Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya ATFGM, Sister Jacqueline Gbanga akielezea namna wanavyoshirikiana na PEPFAR kuk… Read More
Rufiji. Tarehe 25 Agosti 2023: Baada ya Benki ya CRDB kufungua tawi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kuja kuwek… Read More
*Wateja kukopeshwa bila ya riba
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix imezindua rasmi promosheni ya ‘JIPATE NA INFINIX’ ikiwa ni mfumo ambao… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Na Alex Sonna-SINGIDA
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA), imetaja mikakati yake ya kuimarisha upatikanaji wa maji na uondoshaji wa majitaka ikiwamo kutekelezwa k… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akimkabidhi Mkuu wa mkoa wa Geita, Martin Shigela baadhi ya madawati hayo. Kushoto kwa mkuu huyo wa mkoa ni Mkuu wa wilaya ya Geita, Corn… Read More
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya, amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari, na kuzuka kauli za kwamba Mhe. Rais Samia ameu… Read More
Kama unapenda mchezo wa karata basi chimbo jipya la kupigia hela limeongezeka pale Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa karata wenye umaarufu kwa wadau… Read More
* Kenya bei ya mafuta yazidi kupaa, wenye magari wavuka mpaka hadi Tanzania kuweka mafuta
* Maagizo ya Rais Samia ya usimamizi wa uingizaji mafuta nchini na ruzuku yaleta ahueni kwa Watanza… Read More
Baada ya mahusiano yetu ya muda mrefu sana na mwanamke aliyekuwa wa ndoto zangu ambaye nilianza kumpenda angali bado mdogo nikaamuwa kumsomesha kwa jasho langu mwenyewe , kumtunza na hata k… Read More
Mfanyabiashara na Mwekezaji Mkubwa nchini Tanzania Salum Mbuzi maarufu Jambo/ Jamukaya akizungumza wakati wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme alipokutana na kuzungumza n… Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Mkomi, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuzingatia maadili ya utumishi w… Read More