Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.
J… Read More
Serikali imelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuhakikisha linapanga mikakati madhubuti itakaloliwezewesha kukua na kujiendesha kwa tija baada ya uwekezaji mkubwa unaofanywa kupitia u… Read More
Na Mwandishi wetu,Pwani.
*Asisitiza Watanzania wanataka umeme*
*Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo
*TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi*
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza U… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, akiwahutubia wanamichezo walioshiriki katika Bonanza la Waajiri lililoandaliwa na Chama cha… Read More
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto) akimpatia maelezo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuhusu… Read More
Maisha ya binadamu yamejaa mambo mengi sana, kuna mengi ya kidunia unaweza kupitia ukajiona hauna thamani tena kwa jamii, lakini uwepo wa Meridianbet umekuwa ni sehemu ya kurejesha matuma… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo Mhe.Kitila Mkumbo amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Maendeleo ya Mradi wa Uondoshaji Majitaka wa PSSSF, Sinza - Kijitony… Read More
Makamu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Fedha Utawala na Mipango wa chuo hicho, Dkt. Lucas Mwisila akizungumza ameyasema hayo Septemba 8, 2023 katika hafla fupi ya uzinduzi wa J… Read More
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe, Janet Mbene akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi baina ya Bodi na Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Mwanza (hawap… Read More
Jina langu ni Koome, maisha yangu hayakuwa rahisi, wazazi wangu wote walifariki nilipokuwa msichana mdogo na nilienda kuishi na shangazi yangu, shangaza pia hakuwa tajiri na hakuweza hata k… Read More
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo),Dkt Daniel Mushi akiongea na uongozi na wafanyakazi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd kilichopo wilaya… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika la Amref Health Africa Tanzania kupitia Kituo Cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kwa ufadhili wa Mpango wa Dharura wa Rais… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM- Taifa Donard Megitii amewataka Wafugaji wa kuku nchini kuongeza uzalishaji wenye tij… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj b… Read More
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa SimBanking App inayotumia teknolojia ya kisasa zaidi inayowezesha kutambua mahitaji ya wa… Read More
MBUNGE wa Jimbo Tanga (CCM) Ummy Mwalimu ambaye pia ni Waziri wa Afya akizungumza wakati alipofanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na Taasisi ya Tanga Yetu kupitia ufadhili wa Sh… Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea zawadi ya tuzo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa… Read More
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya J… Read More
Ukweli ni kwamba kila wakati Meridianbet wanajaribu kutengeneza njia rahisi kwa wateja wao kuendela kupiga mishindo ya hela kila mara, kwa kulitambua hilo wamekuja na mchezo rahisi… Read More
Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation, leo imezindua rasmi msimu wa nne wa mbio za CRDB Bank Marathon ikwa na lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kusaid… Read More
Ujenzi Mabweni ya wasichana umetajwa mkombozi kutimiza ndoto za mtoto wa kike
Na Marco Maduhu, GEITA
WANAFUNZI ambao wanasoma katika Shule ya Sekondari Msalala Halmashauri ya Nyang&rsquo… Read More
Na John Mapepele
Wadau wa Sekta za Wanyamapori na Misitu nchini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa inayofanywa hivi sasa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utal… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
SERIKALI imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na washirika na wadau kuongeza juhudi katika mafunzo ya ukunga na elimu ili kuboresha utoaji… Read More