Na Mwandishi wetu,Pwani.
*Asisitiza Watanzania wanataka umeme*
*Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo
*TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi*
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza U… Read More
Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Na Mwandishi Wetu.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeahidi kushirikiana na Benki ya NMB ili kuimarisha, kukuza na kuendeleza ujuzi na vipaji kwa vijana wa Kitanzania… Read More
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameonekana kutoridhishwa na hatua ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ambap… Read More
Na Mwandishi wetu - Mwanza
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayehusika na Elimu, Dkt. Franklin Jasson Rwezimula Leo tarehe 7/10/2023 ametembelea Taasisi ya Dar es… Read More
*Mkurugenzi Mkuu abainisha mafanikio lukuki, asema yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
*TEF yakoshwa na utendaji wa NSSF yapongeza kazi kubwa i… Read More
Na Mwandishi wetu - Songwe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara amewahakikishia wadau wanaotumia kituo cha forodha Tunduma kuvusha mizigo kupitia Nakonde upande wa Za… Read More
Na Mwandishi wetu Arusha
Mkuu wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) Prof. Eliamani Sedoyeka leo tarehe 15 Septemba 2023 ametoa rasmi ripoti ya utendaji kazi ya mwaka wa fedha 2022/2023… Read More
Mtu mmoja aliyekuwa akiendesha pikipiki amefariki dunia katika ajali kati ya pikipiki hiyo na Gari ya Mwendokasi baada ya kugonga basi hilo kwenye eneo la Lumumba, mataa ya Kituo c… Read More
*Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
*Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
*TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kucho… Read More
Lori likiwa kazini katika mgodi wa North Mara
***
Zoezi la kulipa fidia kwa wananchi katika eneo la Nyeheto wilayani Tarime, Mara linaendelea vizuri na wengi wanaripotiwa kujitokeza kupok… Read More
Vijana 820 wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo, ambao wamehitimu mafunzo yao katika vituo atamizi mbalimbali hapa nchini (Vyuo vya Kilimo), wamei… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella,akimtishwa Ndoo ya Maji Mwananchi mara baada ya kuzindua mradi wa Maji unaosimamiwa na Counsenuth wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi… Read More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ubunifu Profesa Anthony Mshandete (katika) pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Binnaya Srikanta Pradhan (Kulia) wakikata utepe kuashir… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika la Amref Health Africa Tanzania kupitia Kituo Cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kwa ufadhili wa Mpango wa Dharura wa Rais… Read More
Kama ulidhani kutokukamilika kwa mradi wa mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi Tatu kunawakera wakazi wanaohangaika na usafiri kila linapokucha au kukuchwa unajidang… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama (katikati) akiwa Abeli Mussa (kushoto) na Rebecca Damian (kulia) baada ya kuwapokea wanafunzi hao walioshiriki k… Read More
Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju akizungumza jambo wakati wa Ziara ya bodi ya Mfuko wa Abbott katika makao ya Taifa ya… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila aliwasihi wananchi kufanya mazoezi ili kuimarisha afya ya mwili hivyo kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza. Chalamila aliyasema hayo alipozi… Read More
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele
********
Na Mwandishi Maalum - NEC
Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga K… Read More
Mhandisi Mwelekezi wa Mradi wa Ujenzi wa bwawa la tope katika mgodi wa Williamson Diamond Limited, Mhandisi Anael Macha akimuonesha eneo la bwawa jipya katika Mgodi wa Mwadui Waz… Read More
Na Mwandishi Maalumu
WATUMISHI katika Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) wamehimizwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuhakikisha kila mmoja anatoa mchango wake katika kuleta tija kwa… Read More
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kulia) wakikata utepe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gar… Read More