Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Na Kadama Malunde &nda… Read More
Na Mwandishi Wetu.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeahidi kushirikiana na Benki ya NMB ili kuimarisha, kukuza na kuendeleza ujuzi na vipaji kwa vijana wa Kitanzania… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ametangaza tarehe ya maonesho ya nane ya Swahili International Tourism Expo - S!TE, 2024 kuwa ni Oktoba 11-13 na kuwa… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, akiwahutubia wanamichezo walioshiriki katika Bonanza la Waajiri lililoandaliwa na Chama cha… Read More
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoa wa Tanga Nuhu Ramadhani Mbaga akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa… Read More
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto) akimpatia maelezo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuhusu… Read More
*Mkurugenzi Mkuu amueleza Naibu Waziri Mkuu jinsi wanavyowafikia wachimbaji wadogo
*Mkoa wa Geita pekee walikusanya bilioni 56 kwa mwaka fedha ulioishia Juni 2023
Na MWANDISHI WETU, GEIT… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kitengo cha huduma za dharura cha kampuni hiyo pindi waliposhiriki maonesho hayo mwaka… Read More
*Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
*Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
*TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kucho… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Dkt Angeline Mabula katika ofisi za wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (wa kwanza kushoto) akikagua uwanja wa kwaraa yatakapofanyika maadhimisho ya k… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Na Samwel Mwanga, Simiyu
MKUU Wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda amesema kuwa bingwa wa Michuano ya soka ya Simiyu Super Cup 2023 anatarajia kubeba kitita cha Sh milioni Nne.
Akizindua ma… Read More
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Mifumo na Huduma za TEHAMA (DISDS) Bw, Mohammed Mashaka wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akizungumza wakati wa kikao kazi cha ku… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Kama ilivyo kauli mbiu “CHAGUA TUKUPE” sasa watu wamechagua na wamepewa kwani Mkazi mmoja kutoka jijini Dar-es-salaam ameweza kujishisdia kiasi cha milioni 14 baada ya kubashir… Read More
HABARI: Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka Watanzania kukosoa na kubishana kwa hoja kwa kutumia maneno ya staha badala ya matusi.
Kauli hiyo aliitoa… Read More
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya, amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari, na kuzuka kauli za kwamba Mhe. Rais Samia ameu… Read More
WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa Mabasi nchini wameitaka Mamlaka ya kudhibiti usafiri wa majini na nchi kavu (LATRA) kuharakisha utoaji wa ratiba itakayoyawezesha mabasi kutoa huduma za kw… Read More
Kamishna wa Maadili Mh Jaji Sivangilwa Mwangesi aliyesimama akiwahutubia viongozi, kulia kwake ni Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara Bw Enoch Ngailo na kushoto kwake ni Katibu msaidizi k… Read More
Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Suleiman Makame (mwenye tai nyekundu) akisikiliza ufafanuzi wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na mabaharia wa… Read More
Viongozi wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria inayojulikana “Mama Samia Legal Aid Campaign”
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog… Read More
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo na Naibu Makamu Mkuu Taaluma, Utafiti na Ubunifu Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa. Antony Mshandete akizungumza na wajumbe w… Read More
Na John Mapepele
Wadau wa Sekta za Wanyamapori na Misitu nchini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa inayofanywa hivi sasa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utal… Read More
Na Gustafu Haule, Pwani
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge,amesema kuwa Mwenge wa Uhuru ulioingia leo Mkoani kwake utaweka mawe ya msingi, kuzindua na kufungua jumla ya miradi 99 ya mae… Read More
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako akimkabidhi tuzo Afisa Uhusiano wa GGML, Doreen Denis baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi… Read More