Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. ADAM KIGHOMA MALIMA amewataka wafanyakazi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania-TPA kutumia michezo ya bandari 2023 kuimarisha afya zao na kuongeza tija… Read More
Tafiti na machapisho yenye kukidhi ubora wa ushindani yanaweza kukisaidia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika kupata ufadhili na miradi itakayosaidia kuongeza mapato ya ndani ya chu… Read More
Chuo cha Uhasibu Arusha [IAA] Kimeanza kutoa Masomo ya Ujasiriamali Kwa Vijana wanaojiunga na chuo hicho kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuweza kujiajiri pindi wanapo hitimu masomo katik… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa vyuo vikuu kuzingatia ufanyaji wa tafiti zenye tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika gunduzi mbal… Read More
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha (KEC), Bw. Anathe Nnko akifungua rasmi mafunzo ya kozi za muda mfupi kwa wanafunzi wa Chuo cha Biashara Kibaha. Mafunzo hayo yanatolewa kati… Read More
Na mwandishi Maswayetu blog;
Baada ya Serikali ya Jamhuri ya MUUNGANO kuhakikisha
kwamba nafasi za kazi zote Tanzania zinatolewa kwa usawa na uwazi kwa vijana
wote wanaopambana kutafuta k… Read More
Na Mwandishi wetu Malunde Blog Shinyanga
Dkt.Agatha Mgogo ambaye ni Mkurugenzi chuo kikuu huria cha Tanzania mkoa wa Shinyanga ameongoza Mahafali ya Tatu ya darasa la saba 2023 katika Sh… Read More
TANZANIA YAPONGEZWA UTEKELEZAJI MRADI WA HAKIMILIKI NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (kushoto) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mku… Read More
Maendeleo ya Teknolojia yamekuja na manufaa makubwa lakini papo hapo katika uandishi wa kazi za kitaaluma yameleta changamoto nyingi ikiwemo utengenezaji wa machapisho kupitia akili bandi… Read More
Na Dotto Kwilasa, DODOMA
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)Prof.Lughano Kusiluka ameishauri Jamii kuona umuhimu wa kuhifadhi maarifa asili kwa kuweka kumbukumbu za mila na… Read More
Waziri wa Ardhi Mhe. Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao cha wakuu wa mikoa na makatibu tawala kinachoendelea katika chuo cha uongozi cha Mwalimu J K Nyerere kibaha mkoani Pwani tar… Read More
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Kheri James ameongoza msafara wa kukagua mradi wa kuvuna ukungu na maji uliopo mkoani Manyara wilaya ya Mbulu.
Ziara hiyo ilifanyika Leo Agost 23,2023 ikiongozwa… Read More
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula akiongea na watumishi wa taasisi hiyo mara baada ya kuwasili
Makamu Mkuu wa Taa… Read More
Na Okuly Julius-Dodoma
KATIKA kukabilia na ongezeko la ajali za barabarani nchini Chuo cha Udereva cha WIDE kwa kushirikiana na Serikali ya wilaya ya Chamwino wameanzisha programu ya m… Read More
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Mifumo na Huduma za TEHAMA (DISDS) Bw, Mohammed Mashaka wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akizungumza wakati wa kikao kazi cha ku… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 27,2023 jijini Dar es Salaam kuhusu ufadhili kwa wahitimu wa Kidato cha Sita wapatao… Read More
Waziri wa Elimu Sayansi na Teklonojia Profesa Adolf Mkenda
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu, Mafunzo ya Ufundi Stadi Veta Anthon Mzee Kasore
Na Mwandishi Wetu, Tanga
SERIK… Read More
Ni mwaka wa nne sasa tangu nimehitimu masomo yangu ya Chuo Kikuu, nimetafuta kazi na kufanya interview nyingi sana bila mafanikio hali ambayo inaniumiza sana kutokana kuna wadogo zang… Read More
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imepongezwa kwa kuwa miongoni mwa Taasisi za Elimu Tanzania yenye ushirikiano mwema na nchi ya India kwenye masuala ya Teknolojia ya habari na maw… Read More
Mashindano ya riadha, maarufu kama Mbio za kimondo yanayoandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), ikiwa ni maadhimisho y… Read More
Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo leo tarehe 9 Juni 2023 ameitaka NACTVET kuongeza usimamizi wa vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi ili kufikia ubora un… Read More
Afisa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Kaskazini – Arusha Bw. Baraka Mgimba akitoa mada kuhusu Uadilifu katika mafunzo kwa viongozi na watumishi wa umma kut… Read More
Domo zege , mkono wa sabuni na kila aina ya majina walinipa wote walionijuwa sikuwa kabisa mwenye tabia za kusimama , kuongea wala kuongozana na mwanamke yoyote yule tofauti na ndugu zangu… Read More