Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
MRATIBU wa Tiba Utalii Dkt.Asha Mahita amesema kuwa kuna umuhimu Tanzania tukajiandaa kwa tiba Utalii na ili iweze kufanikiwa tunahitaji ubora wa huduma kwenye maeneo mbalimbali husika kwa… Read More
Na Mwandishi Wetu
TAASISI ya WAJIBU iliyoanzishwa kwa lengo la kukuza mazingira ya Uwajibikaji na utawala bora nchini,imeandaa kikao kazi cha siku tatu cha uchambuzi wa ripoti za Mdhibiti… Read More
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akizungumza wakati akifungua Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jiji… Read More
Makamu wa Rais wa pili Zanzibar, Hemed Suleiman (kushoto) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi mtendaji wa GGML, Terry Strong baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa jumla katika maonesho ya tekno… Read More
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kw… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow, akizungumza na waandishi wa habari katika Mgodi wa North Mara juzi kuhusu athari chanya za ubia wa kimageuzi katika uchimbaji madini… Read More
Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulikia mahusiano ya jamii, Gilbert Mworia akimpatia zawadi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman alipotembelea banda la kampuni hiyo kati… Read More
*Waiomba Serikali iharakishe kurejeshwa kwake, Waonesha nia kushirikiana na Sekta Binafsi
*Naibu Katibu Mkuu Mbibo awakaribisha kushiriki Jukwaa la Madini Litakalofanyika Oktoba,2023… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Kanali Boniphace Maghembe (wa pili kushoto) akipokea nyaraka za vifaa mbalimbali vya tiba kutoka kwa Ofisa Mwandamizi Mahusiano ya Jamii kutoka GGML, Musa Shunash… Read More
Wakazi wa Kijiji cha Kisorya wakiwemo wanawake wajawazito katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wameondokana na adha ya kutembelea umbali mrefu kufuata huduma za afya hususani upasuaji baada… Read More
Maendeleo ya Teknolojia yamekuja na manufaa makubwa lakini papo hapo katika uandishi wa kazi za kitaaluma yameleta changamoto nyingi ikiwemo utengenezaji wa machapisho kupitia akili bandi… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Ranchi ya Mbogo Bw. Naweed Mullah (kulia) akimuongoza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi (kushoto) na timu ya washiriki w… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Matembezi na mbio fupi za Uzazi Ni Maisha Wogging 2023 yalioanzia viwanja vya Butros Kiembe Samaki n… Read More
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Ziwa limeshiriki maonesho ya wakulima Nanenane 2023 katika uwanja wa Nyamhongolo jijini Mwanza, kwa lengo la kutoa elimu kwa wadau na wananchi ku… Read More
Moja ya klabu za kihistoria kabisa katika soka la Hispania ni RC Celta, timu iliyoko katika mji wa Vigo huko Galicia. Katika msimu wa 2023/24, klabu ya Galician itasherehekea miaka 100 t… Read More
Siah Malle akitoa tathmini ya miradi ya kiuhandisi iliyobuniwa na wahandisi vijana wa kike katika na Maonesho na Kongamano la 8 la Wanawake Wahandisi Tanzania (TAWECE) yaliyofanyika Zanzib… Read More
Hatimaye ile promosheni kubwa Zaidi ya Vuna zaidi na Meridianbet iliyozinduliwa Agosti 2 mwaka 2023 imeanza kutoa washindi, wiki hii simu zimetoka sana pale Meridianbet.
… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Naitwa Blessing, mzawa wa Kondoa, nina umri wa miaka 26, nimehitimu masomo ya Secondary mwaka 2015 ila sikuweza kupata nafasi ya kujiunga na masomo ya high school kutokana na hali ngumu ya… Read More
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa SimBanking App inayotumia teknolojia ya kisasa zaidi inayowezesha kutambua mahitaji ya wa… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila aliwasihi wananchi kufanya mazoezi ili kuimarisha afya ya mwili hivyo kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza. Chalamila aliyasema hayo alipozi… Read More
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi w… Read More
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kutoka Barrick Bulyahulu na GGML wakiwania mpira wakati wa mchezo huo wa kirafiki
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kutoka Barrick Bulyahulu n… Read More
Regina Mabula Afisa uhusiano kutoka GGML akizungumza na Watoto kuhusu siku yam toto wa Afrika
Rebbeca Manace kutoka Jeshi la Polisi dawati la Jinsia Geita Akitoa elimu juu ya haki za Wato… Read More