Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.
J… Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mikondo Miwili ya Uzalishaji Maji wa Kiwanda cha Suma JKT Bottling Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi… Read More
Na: Zainab Ally – Mikumi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Kamisha Benedict Wakulyamba amesema Miradi ya Ujenzi wa Viwanja vya ndege vinavyoendelea kujengwa katika Hif… Read More
Chuo cha Uhasibu Arusha [IAA] Kimeanza kutoa Masomo ya Ujasiriamali Kwa Vijana wanaojiunga na chuo hicho kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuweza kujiajiri pindi wanapo hitimu masomo katik… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Mashariki limeteketeza tani nane ya bidhaa za vipodozi vyenye viambata sumu zenye thamani ya shilingi Milioni… Read More
SHIRIKA la Viwango Tanzania TBS wametoa elimu kwa wazalishaji wa Bidhaa za Viwandani na wajasiriamali juu ya dhana ya ubora wa bidhaa katika Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda Tanzania 2023… Read More
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi (TRA) Bw. Richard Kayombo (kulia) wakiangalia jinsi ya kuskani kinyw… Read More
*Ni baada ya UNFPA na UK AID kuikabidhi vifaa vya uzazi wa mpango
Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital
Serikali imeeleza kuwa itaendelea kuunga mkono uzazi salama kwani unasaidia afya ya mam… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kuweka mazingira bora ya Uwek… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Benki ya NMB imeendesha Warsha ya Siku ya Walimu Katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutambua mahusiano mazuri yaliyopo kati ya… Read More
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) imeandaa Usiku wa marafiki na wadau wa vyombo vya habari Kanda ya Ziwa, unaotaraji kufanyika Septemba 29, 2023.
Leng… Read More
*Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
*Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
*TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kucho… Read More
Dar es Salaam. Tarehe 10 Agosti 2023: Benki ya CRDB imeingia ushirikiano na kampuni ya Samsung Tanzania ili kuwapa punguzo la bei wateja watakaonunua simu mpya aina ya Samsung Galaxy Z Fol… Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, amesema kuwa mchango wa Sekta ya Madini katika kuliingizia Taifa fedha za kigeni umekuwa ukiimarika ambapo kwa mwaka 20… Read More
Kamishna wa Elimu Lyabwene Mtahabwa (wa kwanza kushoto) akika utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamati ya Ushauri wa Viwanda kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi yaani (Hig… Read More
***************
*Asema maono yake kwenye filamu ya Royol Tour utalii umejibu
*Asisitiza CCM haina muda wa kujibu lugha za matusi, wao wanaongoza nchi
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV &ndas… Read More
BRYSON MSHANA, MTWARA
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Korosho utakaohusisha nchi 33 zinazolima zao la Korosho Duniani.
Mkutano huo ulioandaliwa na B… Read More
* Kenya bei ya mafuta yazidi kupaa, wenye magari wavuka mpaka hadi Tanzania kuweka mafuta
* Maagizo ya Rais Samia ya usimamizi wa uingizaji mafuta nchini na ruzuku yaleta ahueni kwa Watanza… Read More
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi w… Read More
Mahusiano yetu ya muda mrefu yaliniaminisha kuwa Isack ni baba bora wa maishani ni mwanaume ambaye hakuna mtu angeopena ampoteze katika maisha yake kwa namna yoyote ile lakini hili ndilo lil… Read More
Huwa ni jambo la ovyo sana mtu anapopata ushawishi wa kuiba kitu cha mtu mwingine ambacho hakukifanyia kazi, tabia ya wizi ni tishio kwa maendeleo ya jamii na imepelekea watu wengi kuog… Read More