Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. ADAM KIGHOMA MALIMA amewataka wafanyakazi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania-TPA kutumia michezo ya bandari 2023 kuimarisha afya zao na kuongeza tija… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong akiwa pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo Vallence Ibrahim wakiongoza matembezi hayo ambayo yalishirikisha baadhi ya wafanyakazi na wak… Read More
Na John Mapepele
Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhifadhi leo tarehe 19 Oktoba, 2023 wamempongeza n… Read More
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo tarehe 19/10/2023 amewasili Mkoani Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Waziri Kindamba kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moj… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mh. Jaffar Shekimweri na Katibu Wa Ccm Mkoa wa Dodoma Mh. Pili Augustine Mbanga ni miongoni mwa viongozi walioguswa… Read More
MKUU wa Idara ya Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga Sharifa Coshuma akizungumza wakati akifungua mafunzo ya watalaka na watalakiwa yaliandaliwa… Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi wakati wa ziara yake ya kuimarish… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
STEPHEN JULIUS MASELE: UJUMBE WANGU KWENU WAPIGANAJI LEO KATIKA SIKU YANGU YA KUZALIWA LEO TAREHE 01 OKTOBA 2023.
Habari za leo ndugu zangu wapendwa?
Ndugu zangu kwa mape… Read More
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi (TRA) Bw. Richard Kayombo (kulia) wakiangalia jinsi ya kuskani kinyw… Read More
President William Ruto has on Monday flagged off 100,000 community health workers who will be dispatched to all 47 county governments.
The health workers who are fully trained will be gui… Read More
Afrika Kusini na Marekani zitaanza majaribio ya chanjo mpya ya kuzuia VVU na zimeanza kuwaandikisha washiriki kushiriki katika majaribio ya kimatibabu.
Kulingana na shirika la utafiti la… Read More
Licha ya matangazo mengi katika vyombo vya habari kuwa Kifua Kikuu (TB) ni ugonjwa unaotibika kwa urahisi na watu wasione aibu kwenda Hospitalini, kwani hali hiyo kwangu ilikuwa ni tofau… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara kwenye mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 15-20 Septemba, 2023.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolew… Read More
Na Emmanuel Mbatilo
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Waajiri (Waajiri Health Bonanza) kwa mwaka 2023 lenye le… Read More
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ,Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Chalinze.
NA ELISANTE KIN… Read More
*************
Na Mwandishi wetu
UONGOZI wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kutambua umuhimu wa michezo katika kujenga afya ya mwili na akili kwa wafanyakazi, umejenga kiwanja cha m… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella,akimtishwa Ndoo ya Maji Mwananchi mara baada ya kuzindua mradi wa Maji unaosimamiwa na Counsenuth wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi… Read More
******************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imewakutanisha Waandishi wa habari na viongozi wa Vituo vya Taarifa na Maarifa kwaajili ya kujadi… Read More
Na Dotto Kwilasa, DODOMA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Angikana Central Dodoma (DCT) lililop… Read More