
Sentensi za Lema Katika Mkutano Wake wa Kwanza Arusha Baada ya Kuachiwa..!!! Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema jana amefanya mkutano wa hadhara ukiwa ni mkutano wake wa kwanza tangu alipotoka mahabusu wiki moja iliyopita. Lema
This post first appeared on Udakuzi Mtandaoni | King Of Gossipy, please read the originial post: here