Katibu Mkuu Wa Zamani Wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa Amesifia Kasi Ya Rais John Magufuli Hasa Katika Kupambana Na Ufisadi Nchini. Dk. Slaa Amesema Kuwa Alichowahi Kukizungumzia Awali Kimetimia Kwa Kuwa Nchi Hii Ilihitaji Mtu Kama Magufuli. “nadhani Sasa Unaelewa Niliposhikilia Msimamo Wangu. Katika Mazingira Ya Sasa Magufuli Ni Bora Zaidi. Niliwahi Kusema Kuwa Hii Nchi Kwa Siku Za Mwanzo