Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Diamond amalizana na Alikiba leo March 14

Diamond amefunguka haya kuhusu Ali Kiba
" Kiukweli kabisa mimi sina tatizo na Ali. Sijawahi kugombana naye na ni mtu tunaheshimiana. Kipindi Ali ndio yuko kwenye harakati za kurudi kwenye muziki ni watu walitengeza vitu kati yangu na Ali ili kutengeneza 'attention'....... Mimi nilijua kabisa vitu ( ugomvi kati ya @diamondplatnumz na @officialalikiba ) umetengenezwa kwa iyo nilivumilia. Labda mwenzangu alishindwa kuvumilia lakini sisi hatujawahi kugombana " Diamond
.
Diamond alizungumza hayo muda mfupi uliopita katika kipindi cha Clouds360
Diamond pia amekiri kutokuwa na utofauti na Alikiba na kusema amemfahamu kupitia dada yake Queen Darleen na walishakutana Nairobi wakazungumza na anamkaribisha kuja kuuza muziki wake kwenye mtandao wa wasafi.com ……..This post first appeared on HABARI ZA SIASA NA MUZIKI, please read the originial post: here

Share the post

Diamond amalizana na Alikiba leo March 14

×

Subscribe to Habari Za Siasa Na Muziki

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×