Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Arts & Entertainment Blogs  >  Music Blogs  >  HABARI ZA SIASA NA MUZIKI music Blog  > 

2017-06-05 06:27
PART 1: JINSI YA KUNUNUA DOMAIN NA KUIWEKA KWENYE BLOG YAKO | FROM .BLOGSPOT TO .COMSlaus Technologies Tz1 / 5 days agoHabari za wakati huu msomaji wa Blog yako pendwa ya Slau… Read More
2017-05-22 12:22
HOSPITALI ya Rufaa Amana imeanzisha utaratibu wa wajawazito kwenda na wenzi ama ndugu zao kwa ajili ya kuchangia damu. Mahitaji ya damu katika hospitali hiyo ni wastani wa chupa 350 hadi 40… Read More
2017-04-26 18:35
Habari mbaya kwa mashabiki wa Manchester United kwa kuwa kiungo wao, Paul Pogba ataikosa mechi ya wapinzani wao wakubwa Manchester City, kesho. Kocha Mkuu wa Man United, Jose Mourinho ameth… Read More
2017-03-25 03:53
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Tiba na Mifupa (Moi), Dk Othman Kiloloma amesema kipo katika mchakato wa kupunguza wafanyakazi 45 waliokutwa na vyeti feki.Akizungumza mbele ya Kamat… Read More
2017-03-25 03:51
Ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya utafiki kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za m… Read More
Shein Amtumia Salamu Maalim Seif
2017-03-24 07:39
RAIS WA ZANZIBAR, DK. ALI MOHAMMED SHEIN.RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amesema hakuna mabadiliko yoyote yatakayotokea Zanzibar kama inavyoelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Wanan… Read More
2017-03-24 07:36
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) linadaiwa zaidi ya Sh bilioni 4 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) za kodi ya mitambo ya kuzalisha umeme iliyokwama katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (T… Read More
2017-03-24 07:34
Mfungaji wa mabao matatu ya Brazil PaulinhoTimu ya taifa ya Brazil wameibuka na ushindi ugenini kwa kuichapa Uruguay kwa mabao 4-1. katika mchezo ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia la mwak… Read More
2017-03-24 07:32
Runinga ya Touba nchini SenegalRuninga moja ya kidini nchini Senegal imemlaumu mtu mmoja ambaye hakutajwa kwa hujuma ya kishetani iliosababisha kanda moja ya ngono kuonyeshwa hewani.Watazama… Read More
Alichopost Nape Nnauye Asubuhi Hii
2017-03-24 06:01
Baada ya jana Nape Nnauye kuzungumza na waandishi wa habari akiwa juu ya gari kufuatia mkutano wake aliokuwa ameuandaa kuzuiliwa usifanyike. Mkutano huo ulipangwa kufanyika ikiwa ni baada ya… Read More
Siku Tano Za Mwisho Za Nape Nnauye Ofisini!
2017-03-23 15:44
NAPE Nnauye, leo ameondolewa kwenye nafasi yake ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kufuatia mabadiliko madogo yaliyofanywa katika Baraza la Mawaziri na Rais John Pombe Maguful… Read More
Polisi Wanasa Mtandao Wa Wizi Wa Bajaji
2017-03-23 12:58
JESHI la Polisi wilayani  Igunga limenasa mtandao wa wezi wa bajaji ambao wamekuwa wakipora na kusababisha mauaji ya madereva wake kwa mwaka 2016 na mwaka 2017.Kamanda wa Polisi Mkoa wa… Read More
Ujumbe Wa Bashe Baada Ya Taarifa Ya Ikulu
2017-03-23 09:49
Leo March 23, 2017 kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt… Read More
Kocha Wa TP Mazembe Aachia Ngazi
2017-03-23 07:52
KLABU ya TP Mazembe ya DR Congo imetangaza kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mfaransa Thierry Froger ameachia ngazi kwa makubaliano baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mwezi mmoja.TP Mazembe ime… Read More
Yanga: Uteja Sasa Mwisho
2017-03-23 07:51
KATIBU MKUU WA YANGA, CHARLES MKWASA.SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Afrika [Caf] kuchezesha droo ya Kombe la Shirikisho na Yanga kujikuta ikipangwa kukutana na Mouloudia Club d’… Read More
Ngoma Na Tambwe Waipania Azam
2017-03-23 07:48
WASHAMBULIAJI Donald Ngoma na Amissi Tambwe ambao walikuwa majeruhi na kukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Zanaco, wameanza mazoezi na sasa wanaelekeza akili yao kwenye mchezo wa Ligi Kuu dh… Read More
England Yachapwa Ugenini
2017-03-23 07:40
Lukas Podolski akishangilia goli alilofungaTimu ya taifa ya England imekubali kichapo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya timu ya taifa ya Ujerumani katika mchezo wa kirafiki.Bao pekee la ushindi k… Read More
2017-03-22 13:17
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameyasema hayo mapema hii leo alipokwenda kukitembelea kituo cha Clouds Media kwa lengo la kuwapa pole na kuwatia nguvu wanafamilia wa… Read More
Mtoto Mchanga Atelekezwa Guest Akilia
2017-03-22 13:14
MUSOMA: Kichanga chenye umri usiozidi wiki moja ambacho hakikufahamika jina lake, kilitelekezwa katika nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Kibara, iliyopo Musoma Mjini Ijumaa i… Read More
Madakitari Wakenya Wawaonya Watanzania
2017-03-22 13:11
CHAMA cha Madaktari wa Kenya (KMPDU), kimewataka wenzao wa Tanzania wasikubali kusaini mkataba wowote wa kwenda Kenya kabla mgogoro wao na Serikali haujatatuliwa.Taarifa ya KMPDU ambayo MTAN… Read More
Apple Yatambulisha IPhone 7 Nyekundu
2017-03-22 13:02
Kampuni ya Apple imetangaza kuingiza sokoni simu za iPhone 7 zenye rangi nyekundu ikishirikiana na shirika la misaada la Red.iPhone 7 na iPhone 7 Plus zitapatikana zikiwa na ukubwa wa 128 GB… Read More
Majibu Ya Tume Ya Nape Yasubiliwa
2017-03-22 13:02
IMU iliyoundwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ya kuchunguza suala la kilichotokea Clouds Media Groups wiki iliyopita, haijakamilisha kazi yake hadi kufikia jan… Read More
Mkude: Tunamzuka Na Makombe Mawili
2017-03-22 12:52
NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude, amesema mzuka wa kutaka kuchukua makombe mawili unazidi kuwapanda kichwani wachezaji wa timu hiyo na wamepania kutimiza lengo hilo.Akizungumza na Nipashe jana… Read More
Waasi Washambulia Tena Damascus
2017-03-22 06:27
Vikosi vya waasi na wapiganaji wa Jihad nchini Syria vimesema kuwa shambulio la hivi karibuni walilotekeleza mjini Damascus, kubwa zaidi kutokea katika kipindi cha miaka miwili ,linapeleka u… Read More
Waziri Ajiuzuru Nchini Ufaransa
2017-03-22 06:26
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa,Bruno Le Roux, amejiuzulu, baada ya kuibuka shutuma kuwa aliwaajiri binti zake wawili kuwa wasaidizi wa bunge wakiwa wanafunzi.Waendesha mashtaka walifan… Read More
Wabunge CAF Mbaroni Kwa Tuhuma Za Mauaji
2017-03-21 13:05
WAKATI Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), likitoa maazimio yake ikiwemo kubariki kuvuliwa kufurushwa kwa kuvuliwa uanachama vigogo wake, wabunge wawili wa chama hicho wanashi… Read More

Share the post

HABARI ZA SIASA NA MUZIKI

×

Subscribe to Habari Za Siasa Na Muziki

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×