Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

KING MAJUTO AZUNGUMZIA UJIO WA FILAMU YAKE MPYA

Msanii wa Filamu za kuchekesha Bongo, King Majuto amesema kuwa Filamu Yake Mpya ijayo ni zaidi ya filamu zake zilizopita.
Akiongea na Times FM, “Hii ina ujumbe wa kuelimisha jamii kuachana na mambo Ambayo hayana manufaa kwa maisha ya sasa na nimewashirikisha wasanii mbalimbali maarufu.”

Aidha Majuto amefafanua kuwa sababu ya kuchelewa kuiachia filamu hiyo kama alivyopanga ni kutokana na kuupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan.


This post first appeared on ELIYA95, please read the originial post: here

Share the post

KING MAJUTO AZUNGUMZIA UJIO WA FILAMU YAKE MPYA

×

Subscribe to Eliya95

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×