Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

MAHREZ AKIRI KUNUKIA KIKOSI CHA ARSENE WENGER KWA ASILIMIA 50
WINGA wa timu ya Leicester City, Riyad Mahrez amesema kwamba kuna uwezekano wa asilimia 50 ya kujiunga na timu ya Arsenal mwishoni mwa msimu huu.


Kauli ya winga hiyo inatajwa kuashiria uwezekano mkubwa wa kujiunga Emirates Katika Dirisha la mwezi Januari.Riyad alipata ofa ya kutua Barcelona katika dirisha lililopita lakini ilishindikana baada ya klabu yake kuitupiliambali ofa hiyo
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA


This post first appeared on Tanzania Hot News, please read the originial post: here

Share the post

MAHREZ AKIRI KUNUKIA KIKOSI CHA ARSENE WENGER KWA ASILIMIA 50

×

Subscribe to Tanzania Hot News

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×