Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

MAGULI AITOSA SIMBA AAMUA KUSAINI CLUB HII HAPA!!

Tags: simba hapa maguli

shambuliaji Mtanzania Elias Maguli amezipiga chini ofa za Simba na Yanga na klabu nyingine zilizokuwa zinamwania katika dirisha dogo la usajili, na kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Polokwane City inayoshiriki liki kuu ya Afrika Kusini (PSL)
Maguri amejiunga na Polokwane City akiwa mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na klabu yake ya Dhofar FC ya Oman tangu alipojiunga nayo June 2016 akitokea Stand United {chama la wana} yenye makazi yake mkoani Shinyanga.
Maguli amewahi kuvichezea vilabu vya Hapa Tanzania kama Tanzania Prisons, Ruvu Shooting, Simba na Stand United alipotokea anaenda kucheza soka la kulipwa OMAN.
'); }());

USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA


This post first appeared on Tanzania Hot News, please read the originial post: here

Share the post

MAGULI AITOSA SIMBA AAMUA KUSAINI CLUB HII HAPA!!

×

Subscribe to Tanzania Hot News

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×