
Baada ya Kuachiwa Huru, Hii ni Sentensi ya Lema Kwa Rais Magufuli...!!! MBUNGE wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chadema, Godbless Lema jana Machi 3, 2017 ameachiwa huru na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kwa dhamana ya milioni 1 huku akipewa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaokidhi vigezo kwa mujibu