Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Kampuni ya celebrite Israel inayoweza kudukua simu yoyote

Kampuni ya celebrite kutoka Israel inayoweza kudukua simu yoyote aina ya smartphone
Image captionKampuni ya celebrite kutoka Israel inayoweza Kudukua Simu Yoyote aina ya smartphone

Kampuni moja ya Israel inayowasaidia polisi kudukua simu za washukiwa wa uhalifu nchini Israel Cellebrite, imesema kuwa inaweza kudukua simu yoyote aina ya smartphone.

Kampuni hiyo iligonga vichwa vya habari mapema mwaka huu wakati ilipodaiwa kuwasaidia maafisa wa ujasusi nchini Marekani FBI kudukua simu aina ya Iphone iliotumiwa na muuaji wa San Bernardino.

Cellebrite sasa imeieleza BBC kwamba inaweza kuingia katika simu yoyote ya smartphone.

Lakini imekataa kusema iwapo inasambaza teknolojia hiyo kwa serikali za kiimla.

Wiki iliopita kampuni hiyo ilialikwa katika hoteli ambayo maafisa wa polisi kutoka kote nchini Uingereza walionyeshwa vifaa na programu zinazoweza kutoa data ya simu za wahalifu

source; bbc

The post Kampuni ya celebrite Israel Inayoweza Kudukua Simu yoyote appeared first on KIVUMEDIA.This post first appeared on KIVU MEDIA – La Voix De Kivusien, please read the originial post: here

Share the post

Kampuni ya celebrite Israel inayoweza kudukua simu yoyote

×

Subscribe to Kivu Media – La Voix De Kivusien

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×