Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Majambazi wavamia nyumba ya Q Chief, waiba vitu vya zaidi ya milioni 2


Q Chief amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya Vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake.
“Watumishi wa shetani wameamua kufanya kitu cha kihistoria, siku zote wanarukaruka mmoja wawili tunapigiza nao kelele wanaondoka lakini this time Wamekuja watu kama sita, saba au nane. Wamekuja na mapanga, wamekuja na mafokolisti yale ya kufungua, wamekuja na gari moja nje sasa sijui walikuwa wanataka kubeba kila kitu?,” ameuliza Q Chief.
“Pale sebuleni mavitu mengine yote wamepita nayo na gym ya nondo ilikuwa tulichukua Mlimani kwa sababu ya exercise,” ameongeza.
“Wamepiga maplazma, wamepiga music system yangu nimetoka nayo South Africa, wamepiga laptop ambayo tayari mimi nilikuwa naangalia nafasi ya kujipanga na connection zangu. Wamepiga piga hivi kama tatu point something au mbili point something wamepiga,” aliongeza.


This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Majambazi wavamia nyumba ya Q Chief, waiba vitu vya zaidi ya milioni 2

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×