Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Audio: Msikilize Rais Magufuli Akizungumzia Jinsi Atakavyoyapiga Mnada Majengo ya Serikali Dar na Atakachofanya Kwa Watumishi Watakaokataa Kuhama


Rais John Magufuli amesema azma ya Serikali yake Kuhamia Dodoma haraka iwezekanavyo ipo pale pale huku akiwaonya wale wataong'ang'ania kubaki Dar es Salaaam kuwa watakuwa wamejifukuzisha kazi wenyewe.

Alitoa msimamo huo mjini Singida jana kwenye mkutano wake wa kwanza wa hadhara  tangu achaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka jana.

Alisema kuwa licha ya kuhamia Dodoma atahakikisha anauza majengo ya wizara mbalimbali yaliyopo Dar es Salaam kwa mnada ili wale wasiotaka kuhama,wahame kwa lazima.

Bonyeza Audio ya kwanza  na  ya Pili Kumsikiliza akiongea

DOWNLOAD HAPA>>>>>http://music.audiomack.com/tracks/mpekuzi-blog/kauli-ya-rais-magufuli-kuhusu-watumishi-watakaokataa-kuhamia-dodoma.mp3?Expires=1469860388&Signature=Tkt1fHvqeGAnYia4-kHzhc1T-R8eNf0nlhlMBBcBJi1Ggz87PO18Q7gLHu5ceVeTdixLL67tIxDVhe1Mo9gTweZkfczrehg~VHg9zkterVlLJU0fwv7ODqwpx1dO~~EjgaoPNi9S7JHKDZQk9S0EYS97TueHMQV3TqLKhl4FXE4_&Key-Pair-Id=APKAIKAIRXBA2H7FXITA  

 DOWNLOAD HAPA>>>>>>http://music.audiomack.com/tracks/mpekuzi-blog/kauli-ya-rais-magufuli-kuhusu-watumishi-watakaokataa-kuhamia-dodoma-1.mp3?Expires=1469860577&Signature=elpI6pFvDo~PaFI-Bsi4neQOUsQkqJmL4nIPRbUc-ROSODHG1gcPNsQFF-GZGEDEp5K8se5BgfXuw4w87-TKm4ZPBDF8JffkXswzOo9otcmqG-xC-t6ftiVKEuqwgHyimSN35bQlAuvefxQtjIVSlomaSHXpgdnSTvWgULhNlhM_&Key-Pair-Id=APKAIKAIRXBA2H7FXITA


This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Audio: Msikilize Rais Magufuli Akizungumzia Jinsi Atakavyoyapiga Mnada Majengo ya Serikali Dar na Atakachofanya Kwa Watumishi Watakaokataa Kuhama

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×