Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Acacia yaruhusiwa kuendelea kusafirisha Dhahabu kutoka mgodi wa North Mara

Kampuni ya Acacia imeruhusiwa kuendelea na utaratibu wa Kusafirisha dhahabu baada ya kuzuiliwa kwa takribani mwezi mmoja na Tume ya Madini Tanzania

Taarifa iliyotolewa na Acacia inaeleza sasa wataanza kusafirisha madini kutoka North Mara baada ya kutimiza masharti

Hata hivyo, Tume ya Madini imesema inaamini baadhi ya vipengele vya kanuni ya madini ya mwaka 2010 vilikiukwa na imewataka kuwasilisha mpango wa uchimbaji na ripoti ya upembuzi yakinifu ifikapo Ijumaa ya wiki hii

Acacia imekuwa kwenye mvutano wa muda mrefu na Serikali baada ya kuzuiwa kusafirisha Makinikia nje ya nchi kwa madai ya kutolipa mrabaha stahiki
This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Acacia yaruhusiwa kuendelea kusafirisha Dhahabu kutoka mgodi wa North Mara

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×