Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Shehena ya malori ya dawa Yatua Muhimbili Kuwasaidia Majeruhi Ajali ya Moto Morogoro

Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi dawa na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Kwa Ajili ya kuwahudumia majeruhi wa ajali ya moto waliohamishiwa hospitalini hapo kutoka mkoani Morogoro baada ya Kutokea kwa mlipuko wa mafuta Msamnvu Morogoro. 

Makabidhiano haya ya dawa ni mwitikio wa maombi ya dharura yaliyoombwa na Hospitali Muhimbili Kwa Ajili na majeruhi hao.

Meneja wa MSD, Kanda ya Dar es Salaam Bw. Celestine Haule amesema mpaka sasa jumla ya shehena ya malori matano yameshakabidhiwa Muhimbili zikiwemo dawa muhimu zinazotumika kwa ajili ya kuokoa maisha ya majeruhi hao.

This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Shehena ya malori ya dawa Yatua Muhimbili Kuwasaidia Majeruhi Ajali ya Moto Morogoro

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×