Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Taarifa Umma kuhusu Kikao cha Kamati Kuu(CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi.

Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kinatarajia kufanya vikao vyake Kamati Kuu (CC) pamoja na Halmashauri kuu (NEC) wiki ijayo Dar es Salaam.

Wakati Kikao Cha Kamati kuu vitafanyika Juni 26, 2019 kikao cha NEC kitafanyika Juni 27,2019 na kitakuwa cha kawaida kwa mujibu wa kalenda ya chama na Katiba ya CCM ibara ya 101(2).

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari  Ijumaa Juni 22, 2019 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ilisema kikao Cha Kamati Kuu kikitanguliwa na vikao vya Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachofanyika Juni 24,2019 na kufuatiwa na semina ya makatibu wa mikoa Juni 25, 2019.

This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Taarifa Umma kuhusu Kikao cha Kamati Kuu(CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi.

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×