Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

PICHA: Rais Magufuli Ashiriki Misa Takatifu Ya Maadhimisho Ya Sherehe Ekaristi Takatifu Kanisa La Mtakatifu Petro Jijini Dar Es Salaam Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Padre Dkt. Alister Makubi, Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es salaam baada ya kushiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu kanisani hapo katika Leo Jumapili Juni 23, 2019. Katikati ni Paroko Msaidizi wa kanisa hilo Padre Paul Haule na Mzee wa Kanisa Dkt. Aldehem Meru
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Juni 23, 2019
This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

PICHA: Rais Magufuli Ashiriki Misa Takatifu Ya Maadhimisho Ya Sherehe Ekaristi Takatifu Kanisa La Mtakatifu Petro Jijini Dar Es Salaam Leo

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×