Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Rais Magufuli Aiongezea muda wa miaka 3 Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongeza Muda wa miaka 3 kwa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyokuwa imalize muda wake leo tarehe 23 Aprili, 2019.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Mwenyekiti na Wajumbe wote wa bodi hiyo  wameongezewa muda hadi tarehe 23 Aprili, 2022.

Bodi hiyo inaongozwa na Mwenyekiti, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na wajumbe 6 kama ifuatavyo;
  1.     Bw. Augustine Kungu Olal.
  2.     Bi. Zabein Muhaji Mhita.
  3.     Bw. Richard Rugimbana.
  4.     Bw. Mark Leveri.
  5.     Bw. Ally Hussein Laay.
  6.     Bw. Ibrahim Mussa.
This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Rais Magufuli Aiongezea muda wa miaka 3 Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×