Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Breaking News : MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAIM KIBONDE AFARIKI DUNIA

Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Samson Kibonde, amefariki dunia Alfajiri ya leo Machi 7, 2019 akiwa mkoani Mwanza.


Mtangazaji huyo alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliomsindikiza Ruge hadi katika maziko yake wilayani Bukoba.

Kwa mujibu wa Sebastian Maganga, taratibu zinafanyika kupanga mipango ya msiba huo.This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Breaking News : MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAIM KIBONDE AFARIKI DUNIA

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×