Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

ALICHOPOST KIBONDE MTANDAONI KABLA YA KIFO CHAKE... INASIKITISHA SANA

Kibonde na mkewe enzi za uhai wao

Ikiwa ni masaa machache tangu mtangazaji pendwa wa Clouds FM, Ephraim Samson Kibonde kufariki dunia, imeonekana kama moyoni mwake alimkumbuka sana Mke Wake ambaye kwa sasa ni marehemu.

Kibonde alituthibitishia hilo Machi 3,2019 kupitia ukurasa wake wa instagram, baada ya kumpost picha ya marehemu mke wake, siku tatu nyuma kabla ya kufariki dunia, bila kuandika ujumbe wowote.
SOMA HAPA MAONI YA WADAU

Kibonde alifiwa na mkewe Julai 2018, kitu ambacho mwenyewe alikiri kuwa ndio tukio kubwa lililoumiza moyo kwenye muda wote wa maishani mwake, kutokana na jinsi alivyokuwa karibu na mke wake, na kuwa kama rafiki yake kutokana na upendo ambao alikuwa nao.

Ephraim Kibonde ameacha watoto watatu, Junior,Hilda na Ilaria, ambao kwa sasa watakuwa wamebaki yatima kwa kumpoteza na baba yao pia.

MANENO YA KIBONDE KUHUSU KIFO
SABABU ZA KIFO CHA KIBONDE


This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

ALICHOPOST KIBONDE MTANDAONI KABLA YA KIFO CHAKE... INASIKITISHA SANA

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×