Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

JUKWAA LA MAWASILIANO YA AFYA KWA WATU WAZIMA 'NAWEZA' LAZINDULIWA MWANZAKaimu Mganga Mkuu Mkoani Mwanza, Esther Mariki akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jukwaa la mawasiliano ya afya kwa watu wazima liitwalo NAWEZA lililo chini ya mradi wa USAID TULONGE AFYA. Uzinduzi huo ulifanyika jana Machi 06, 2019 Jijini Mwanza, lengo likiwa ni kuhamasisha utekelezaji wa afya mbalimbali ili kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto chini ya miaka mitano.
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa jukwaa la Naweza.
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Emily Kasagara akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Ukumbusho wa picha na viongozi mbalimbali.

Tazama BMG Online TV hapa chini


SOMA>>> Utambulisho wa jukwaa la "Naweza"This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

JUKWAA LA MAWASILIANO YA AFYA KWA WATU WAZIMA 'NAWEZA' LAZINDULIWA MWANZA

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×