Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

WABUNGE WA CHADEMA WAPATA DHAMANA


Wabunge wa Chadema, Suzan Kiwanga (Mlimba), Peter Lijualikali wa Kilombero na wenzao saba Wamepata Dhamana Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kutupilia mbali maombi ya upande wa mashtaka ya kupinga dhamana yao.

Wabunge hao pamoja na wenzao, wamepata Dhamana Baada ya kusota rumande kwa takriban wiki mbili tangu walipofikishwa mahakamani hapo.

Wabunge hao na wenzao wapewa dhamana baada ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo Elizabert Nyembele, anayesikiliza kesi hiyo kupitia hoja za upande wa mashtaka za kupinga dhamana na zile za upande wa utetezi zilizoeleza upungufu ya maombi hayo.

SOMA ZAIDI HAPA


This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

WABUNGE WA CHADEMA WAPATA DHAMANA

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×