Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Breaking News : ANGALIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 YAMETANGAZWAMATOKEO YA MTIHANI WA Kidato Cha Nne (CSEE) 2018 NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 YAMETANGAZWA.YAANGALIE HAPA CHINI

MATOKEO YA KIDATO Cha Nne (CSEE) 2018 Link 1
MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 1
MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 2

NJIA RAHISI YA KUONA MATOKEO


Watumiaji wengi wa simu za mkononi hata wale wanaotumia computer/laptop hushindwa kuona matokeo kutokana na jinsi yalivyopangiliwa.


Kama unatumia simu

1.Fungua link ya matokeo 


2.Angalia juu kulia kwenye simu yako,utaona vidoti vitatu 

3.Bonyeza penye vidoti utaona sehemu imeandikwa Find in page

4.Bonyeza palipoandikwa Find in page utaona  sehemu ya kuandikia...kisha andika jina la Shule unayotaka...kiulaini kabisa utaona unachokitaka.

 Kama unatumia Computer/Laptop1.Fungua link ya matokeo 2. Shikilia palipoandikwa CTRL na F3.Utaona kibox ambapo utaandika jina la shule unayotaka

This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Breaking News : ANGALIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 YAMETANGAZWA

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×