Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Wimbo Mpya: Fid Q Ft. Barakah The Prince - Mafanikio

Rapa Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q ameungana na Barakah Da Prince kwenye audio ya Wimbo wake mpya, ‘Mafanikio’.

Audio imetengenezwa kwenye studio za wanene chini ya producer Goncher Beats huku ikimaliziwa na Chizan Brain.Usikilize hapo chini.


from MPEKUZI http://bit.ly/2HnxOWH
via Malunde


This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

Wimbo Mpya: Fid Q Ft. Barakah The Prince - Mafanikio

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×