Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

HII HAPA REPORT YA WANASAYANSI KUHUSU KUWEPO KWA BARA LA NANE DUNIANIWanasayansi wafahamisha Kuwa bara la 8 lawezekana kuwa lipo chini ya bahari ya Pasifiki.


Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika jarida la Marekani la 'Geological Society of America' ni kwamba bara hilo limepewa jina la Zealandia .


Bara hilo lililokubalika na wanasayansi linasemekana kupatikana katika upande wa Kusini Magharibi mwa bahari ya Pasifiki.


Liko na ukubwa wa kilomita milioni 5 za mraba sawa na thuluthi ya ardhi ya bara la Australia .


Wanasayansi wamesema kuwa bara hilo limefinikwa na maji ya bahari .


This post first appeared on MASWAYETU, please read the originial post: here

Share the post

HII HAPA REPORT YA WANASAYANSI KUHUSU KUWEPO KWA BARA LA NANE DUNIANI

×

Subscribe to Maswayetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×