Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Health & Fitness Blogs  >  Afya Na Kiasi health-and-fitness Blog  > 

KILA RIKA HUPATA UTAPIAMLO
2018-02-19 12:19
Utapiamlo ni hali ambayo hutokana na kupata chakula ambacho virutubishi vyake havitoshi au viko vingi hadi kusababisha matatizo ya kiafya.Neno hili hutumika mara kwa mara hasa kurejelea hasa… Read More
CHANZO CHA HARUFU MBAYA MDOMONI
2018-02-19 11:45
Katika maisha ya kila siku yawezekana umewahi kukutana na mtu ambaye ukiwa karibu naye akiongea au kutoa pumzi kinywani au puani utasikia harufu mbaya.Kwa kawaida mdomo na pua huweza kutoa p… Read More
HAYA NI MATATIZO YA KUTOPATA HEDHI
2018-02-19 11:22
Ni Dhahiri kuwa kukosa au kutopata kabisa hedhi ni tatizo linalowapata wanawake wengi.Kwanza kabisa ni vyema mwanamke akatambua ukweli kuwa, kukosa hedhi ni tatizo la kiafya, hata kama lisip… Read More
NJIA BORA ZA ULAJI WA CHAKULA KWA AFYA BORA
2018-02-19 11:01
Mtindo bora wa maisha ni kuishi kwa kuzingatia kanuni za afya na kwamba, mtindo bora wa maisha unahusisha kuzingatia ulaji bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuepuka matumizi ya pombe, kuepuka… Read More
UMUHIMU WA TOHARA KWA WANAUME
2018-02-19 10:43
Tohara ni kitendo kinachokubalika kijamii, kidini na kwa baadhi ya tamaduni.  Kwanza ni vizuri kujua tohara ni nini?Tohara ni upasuaji wa kitabibu ambao huiondoa ngozi ya mbele iliyocho… Read More
MADHARA YA UTOAJI MIMBA
2018-02-19 10:29
Utoaji mimba (abortion) ni kitendo cha kusitisha mimba kabla ya wiki 22 hadi 24 za ujauzito kamili wa mwanamke.  Utoaji mimba upo wa aina kuu mbili, kuna kutoa mimba kiharamu na kutoa m… Read More
TATIZO LA MUWASHO NDANI YA KOO
2018-02-13 05:00
Muwasho ndani ya koo unatokana na sababu mbalimbali japo kwa kiasi kikubwa unachangiwa na mzio (aleji) wa vitu ikiwamo ile itokanayo na baadhi ya vyakula.Kupitia mzio unaotokana na vyakula… Read More
KOROSHO HUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE
2018-02-12 12:13
Utafiti uliofanywa kuhusu korosho, umeonesha zina faida nyingi kiafya ikiwamo tiba ya maradhi ya moyo.Tunaelezwa ulaji wa korosho mara kwa mara husaidia kuweka sawa afya ya moyo kwa sababu l… Read More
ATHARI ZA KISUKARI KIPINDI CHA UJAUZITO
2018-02-12 11:55
Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa maradhi sugu yanayoendelea kuathiri afya za mamilioni ya watu wa nchi nyingi duniani Tanzania ikiwamo.Ugonjwa huo unaongezeka haraka kiasi cha kuonekana n… Read More
NAMNA YA KUTIBU MIMBA CHANGA ILIYOTOKA
2018-02-09 06:46
Aina ya utokaji mimba itakayoelezwa ni ile ijulikanayo kama utokaji mimba usio kamili ‘incomplete abortion.’Yawezekana mjamzito alikuwa ana tatizo la mimba kutishia kutoka lakini… Read More
UTI INAWEZA KUONDOA UJAUZITO
2018-01-09 10:21
Utafiti wa kisayansi uliofanyika unadhihirisha wanawake hasa walio vunja ungo wapo katika hatari ya kupata maradhi ya UTI ukilinganisha na wanaume.Inaelezwa mambo yanayochangia kuugua ugonjw… Read More
DALILI HATARI KWA MTOTO
2018-01-09 09:59
Zipo dalili na viashiria ambavyo ni kielelezo vinavyoweza kuonesha mtoto anaumwa sana na dalili hizi zimegawanywa katika sehemu kuu mbili.Sehemu ya kwanza ni dalili za hatari na sehemu ya pi… Read More
USAFI HUPUNGUZA FANGASI SIKIONI
2018-01-05 16:03
Licha ya umuhimu wake, yasipotunzwa vizuri, masikio huweza kupata maambukizi yatokanayo na fangasi au bakteria.  Mara nyingi maambukizi ya fangasi hufananishwa na yanayosababishwa na ba… Read More
UKIZIDISHA DAWA YANATOKEA HAYA
2018-01-05 15:53
Unapougua maana yake kinga zako za mwili zimeelemewa na vijidudu vya maradhi vilivyoingia mwilini.  Licha ya kuelemewa huko, mfumo wa kinga unayo namna ya kujibadili na kukabiliana vyem… Read More
IELEWE SARATANI YA SHINGO YA UZAZI
2018-01-05 15:12
Wadau na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya afya kote duniani huutumia mwezi huu kutathmini jitihada za kupambana na saratani ya shingo ya uzazi, ugonjwa unaoongoza kuua wana… Read More
MAYAI HUMUEPUSHA MTOTO NA UTAPIAMLO
2017-12-20 11:35
Ulaji wa yai kwa siku unaweza kuwasaidia watoto wadogo wenye utapiamlo na kuongeza urefu hii ni kwa mujibu wa utafiti wa miezi sita huko Ecuador.Haijalishi yai hilo ni la kukaangwa au la kuc… Read More
PILIPILI HUTIBU VIDONDA VYA TUMBO
2017-12-20 11:29
Jitihada za kuutibu ugonjwa wa vidonda vya tumbo zimeshachukua muda mrefu duniani na kwa bahati mbaya, uhakika wa tiba bado unaendelea kuwa kitendawili kisichoteguka hadi hii leo.Hii ni kuto… Read More
SABABU ZA KUJAA KWA TUMBO
2017-12-20 11:14
Kila mmoja amewahi kuhisi tumbo kujaa wakati wote, hali hii hutokea mara kadhaa kwa nyakati tofauti.  Japo ni hali ambayo kwa kawaida inatokana na ulaji kupita kiasi, lakini kuna baadhi… Read More
UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU NA NYANYA
2017-12-20 11:00
Utafiti wa hivi karibuni umefichua faida ya ndani ya kiafya ya kitunguu swaumu itokanayo na mseto uitwao allicin uliomo katika kitunguu hicho ambao ndio unaokifanya kiwe na ladha na harufu k… Read More
RUNINGA HUSABABISHA UZITO KWA WATOTO
2017-12-18 07:02
Elimu haina mwisho hivyo ndivyo unavyoweza ukasema baada ya kufanyika kwa utafiti ambao umebaini kwamba runinga ina uwezo wa kumsababishia mtoto kuwa na uzito wa mwili.Wengi tunaamini kwamba… Read More
TENDE HUSAIDIA KUTIBU MENO YAKO
2017-12-07 15:48
Wakati ulaji wa vitu vyenye sukari kwa wingi ni hatari kwa afya ikiwamo kuoza meno, lakini kwa tende ni tofauti kwa sababu tunda hili huzuia uozaji wa meno.Na hii ni kutokana tunda hili kush… Read More
SABABU KUU ZA UPUNGUFU NGUVU ZA KIUME
2017-12-07 15:31
Pombe, maradhi na ulaji wa vyakula usiozingatia maoni ya wataalamu wa afya na tiba lishe ni baadhi ya mambo yanayotajwa kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.Tatizo la upungufu wa nguvu za… Read More
SABABU ZA KUPASUKA KWA CHUPA MAPEMA
2017-12-07 14:36
Chupa kupasuka ni neno  lililozoeleka katika jamii yetu likiwa na maana kitabibu kama ngozi au tando laini inayoyazungunguka maji yanayomfanya mtoto aliye ndani ya nyumba ya uzazi kuele… Read More
2017-06-30 11:10
On at least one occasion each year a “professional” hypnotist visits the community in which we (the authors) live.  A large advertisement appears in the local paper a day or… Read More
TATIZO LA ALEJI
2017-06-21 11:53
Kwa kawaida kinga ya mwili huulinda mwili dhidi ya vitu mbalimbali vyenye kuleta athari kwa afya kama vile vimelea vya magonjwa kama vile bakteria na virusi, lakini wakati mwingine pia na vi… Read More
USAFI NI MUHIMU UNAPOKULA VYAKULA VIBICHI
2017-05-30 06:53
Ulaji wa vyakula vibichi kama vile karanga, mihogo, nazi na vinapoandaliwa kama kachumbali au saladi ni maarufu katika nchi yetu.Mboga za majani ambazo hazijakomaa na bado mbichi ni chanzo k… Read More
MAZOEZI MEPESI HUTOA MARADHI NYEMELEZI
2017-05-24 06:00
Nikiwa mmoja wa waunga mkono katika juhudi za kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza yaani non-communicable disease leo nitawapa dondoo zinazohusu mazoezi mepesi.Kama ilivyoendelea kuelezwa… Read More
SABABU YA WAZEE KUPOTEZA USIKIVU
2017-05-08 07:51
Kadri umri unavyozidi kusogea, ni kawaida kwa wengi wetu kupoteza uwezo wa kusikia.  Upotevu huu wa uwezo wa kusikia kutokana na umri, kitabibu, hutambulika kama presbycusis.Watu kati y… Read More
YAJUE MAGONJWA YANAYOATHIRI FIGO
2017-05-08 05:13
Figo ni kiungo muhimu kwa ajili ya kuchuja vitu mbalimbali ikiwamo sumu kwenye damu, mkojo na maji yasiyohitajika ili kuwa na kiwango kinachohitajika cha maji na madini (electrolytes) mwilin… Read More
HAKUNA NJIA ILIYOTHIBIKA KUREFUSHA UUME
2017-05-08 04:46
Wanaume wengi wanatamani kuongeza urefu na upana wa maumbile yao ya uzazi, kutokana na kuathirika kisaikolojia kunakowafanya waamini mabadiliko hayo huongeza uwezo wa kumfikisha mwenza kilel… Read More
KULA TIKITIMAJI UIMARISHE KINYWA NA MENO
2017-03-17 11:50
Tikitimaji ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa wingi nchini likiwa na virutubisho vingi vyenye faida kubwa ndani ya mwili wa mwanadamu. Tunda hili ni chanzo cha protini, mafuta, nyuzi… Read More
UTI INAEPUKIKA KWA KUFUATA KANUNI ZA AFYA
2017-03-17 06:21
Maambukizi ya njia ya mkojo au UTI ni tatizo linalowapata watu wengi hasa wanawake na kujirudia mara kwa mara.  Wanawake wamekuwa wakiugua bila kufahamu namna ya kupunguza tatizo hili… Read More
IMARISHA KINGA ZA MWILI KWA KULA NANASI
2017-02-21 06:15
Nanasi ni tunda linalopatikana kwa wingi nchini ingawa wengi hawafahamu umuhimu wake katika kuimarisha kinga za mwili, ili kujiweka mbali na maambukizi ya magonjwa kutokana na kupungua kwa k… Read More
FANYA VIPIMO HIVI KABLA MWAKA HAUJAISHA
2017-02-21 06:05
Vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza vimekuwa vikiongezeka.  Ulemavu unaosababishwa kutokana na kuchelewa kutibiwa nao ni janga la jamii. Mfumo wa maisha na kuchelewa au kutofany… Read More
POMBE KALI HAZIPUNGUZI MAFUTA MWILINI
2017-02-20 06:29
Ulaji wa mlo wenye mchanganyiko wa vyakula vya aina tofauti ni msingi wa afya njema na huwa na ufanisi zaidi endapo utafanya mazoezi na kuepuka matumizi ya sigara kwa afya ya moyo. Wapo baad… Read More
TIBA YA MSUKUMO MKUBWA WA DAMU
2017-02-17 04:39
Endapo umeanza kuhisi dalili za kuwa na tatizo hili au umepimwa na kukutwa na tatizo hili likiwa katika hatua za mwanzo, ni rahisi kulitibu endapo utafuata maelekezo yaliyo hapo chini. Lakin… Read More
TIBA YA ASILI MSUKUMO MDOGO WA DAMU
2017-02-17 03:49
Tiba ya tatizo la msukumo mdogo wa damu hutegemeana na chanzo chake hususani kama tatizo limekuwa sugu.  Msukumo mdogo wa damu ambao unatokana na mzio, maambukizi au mshtuko huhitaji ti… Read More
DALILI ZA UGONJWA WA SARATANI
2017-02-16 07:58
Kumekuwa na ugumu kwa kiasi kikubwa kwa mgonjwa wa saratani kubaini dalili zake na hii ni kutokana na ukweli kwamba kujitokeza kwa dalili hizo hutegemea zaidi eneo lililoathirika.  Ni v… Read More
CHANZO CHA UGONJWA WA SARATANI
2017-02-16 07:57
Kumekuwa na utata mwingi katika kuchanganua chanzo halisi cha ugonjwa wa saratani lakini mambo ya msingi ambayo yanaelezwa na wataalam wa afya kuwa chanzo ni kama ifuatavyo:· &nb&hell…Read More
TIBA ZA ASILI ZA UGONJWA WA SARATANI
2017-02-16 05:56
Kuna vyakula na matunda yenye uwezo wa kupambana au kuzuia ugonjwa wa saratani, lakini ufanisi wake hutegemea ukubwa wa tatizo hivyo mgonjwa anapaswa kupitia hospitali ili kupata ushauri na… Read More
UGONJWA WA SARATANI
2017-02-15 12:26
Kitabibu ugonjwa huu hujulikana kama malignant neoplasm unaoenezwa na oncovirus ambapo seli za mwili wa mwanadamu hugawanyika na kukua huku zikisababisha uvimbe usioweza kuzuilika kirahisi… Read More
MADHARA YA UGONJWA WA MALARIA SUGU
2017-02-15 11:27
Ugonjwa wa malaria sugu unaweza kusababisha kifo kwa mwanadamu ikiwa hautahangaikiwa mapema.  Lakini pia wataalam wa masuala ya afya wanaeleza kuwa yapo madhara mengine ambayo yanaweza… Read More
MALARIA SUGU
2017-02-14 05:33
Ugonjwa wa malaria unasababishwa na kijidudu kinachoitwa plasmodium parasite ambaye huenezwa na mbu.  Ugonjwa huu mara nyingi huenezwa na mbu usiku wa manane pindi watu wanapokuwa wamel… Read More
PUMU (Asthma)
2017-02-13 08:00
Jopo la wataalam wa masuala ya afya nchini Marekani kipindi lilitoa takwimu kuhusiana na tatizo la ugonjwa wa pumu katika taifa hilo na duniani kwa ujumla.Tafiti zinaonesha kuwa, Marekani il… Read More
DALILI ZA UGONJWA WA PUMU
2017-02-13 07:59
Dalili za magonjwa ya pumu hazitofautiani kutokana na vyanzo vyake bali zote hufanana na kujitokeza sawa katika mwili wa mwanadamu pindi tatizo linapoibuka kwenye afya ya mhusika.  Fuat… Read More
JINSI YA KUBAINI VIDONDA VYA TUMBO
2017-02-13 07:25
Wataalamu waliobobea wanaweza kuwa na suluhisho jema katika kubaini tatizo hili kupitia namna nyingi, mfano vipimo vya X-Ray vinaonesha moja kwa moja maeneo yaliyoathirika hivyo kurahisisha… Read More
TIBA ZA ASILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
2017-02-13 07:24
TIBA YA MAJITiba hii inafaa kwa kutibu vidonda vya tumbo vilivyo katika hatua za awali.Mgonjwa anapaswa kunywa lita moja ya maji masafi na salama alfajiri kabla ya jua kuchomoza na kabla haj… Read More
MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO
2017-02-13 07:02
Kama yalivyo magonjwa mengine, vidonda vya tumbo vina madhara endapo havitapatiwa tiba ya uhakika au endapo mhusika atashindwa kufuata maelekezo aliyopewa na daktari kwa ukamilifu wake.&nbsp&hell…Read More
DALILI ZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO
2017-02-13 06:51
Kunaweza kusiwe na dalili za moja kwa moja za ugonjwa wa vidonda vya tumbo lakini mara nyingi ishara zifuatazo zimekuwa zikijitokeza hivyo ni vema kumuona mtaalam wa masuala ya afya kwa ajil… Read More
VIDONDA VYA TUMBO
2017-02-13 06:31
Miongoni mwa magonjwa yanayoshika kasi katika taifa la Tanzania ni vidonda vya tumbo ambavyo kwa kiasi kikubwa hutokana na mifumo mibaya ya maisha ya binadamu na kutozingatia aina ya vyakula… Read More
UVIMBE WA TEZI SHINGO (GOITER)
2017-02-03 11:56
Neno Goita ni jina linalotumika katika kuliita tatizo la kuvimba kwa tezi ya thairoidi iliyo katika eneo la shingo.  Kiufasaha, huu ni ugonjwa wa tezi ya thairoidi.  Ugonjwa huu pi… Read More
2017-01-23 10:58
In recent years, there has been an increase in public service messages to raise awareness about driving under the influence of alcohol.  In fact, the massive campaign against drinking a… Read More
VIRUTUBISHO MUHIMU KWA WATU WAZIMA
2017-01-11 08:04
Watu wengi wenye elimu na umri zaidi ya miaka 20 wanafahamu umuhimu wa chakula katika miili yao.  Wanaelewa kuwa ili miili yao ipate virutubisho (nutrients) muhimu vya kujenga na kuimar… Read More
FAIDA UNAZOPATA UKILA BAMIA
2017-01-11 07:40
Bamia ni miongoni mwa mboga ambazo baadhi huziona ni za kawaida wanapozitumia kwenye milo yao.Licha ya kuwa mboga, bamia ina faida nyingi mwilini na kiuchumi. Hulimwa maeneo yenye joto, ukan… Read More
DAMU KUGANDA KWENYE MISHIPA
2017-01-11 07:22
Umeamka ghafla unajikuta ukiwa na maumivu makali ya mguu yasiyovumilika, unapovuta kumbukumbu unabaini kuwa haukupata ajali yoyote na wala hakuna jeraha lolote katika mguu huo.Kama rangi ya… Read More
2016-12-29 09:13
Lucy, a 35-year old mother of two, seems like a typical suburban homemaker.  She attends church regularly, belongs to the PTA, and volunteers at the local battered women’s shelter… Read More
2016-12-28 10:30
Drugs can be categorized according to the nature of their physiological effects.  Most psychoactive drugs fall into one of six general categories: stimulants, depressants, hallucinogens… Read More
DRUG TERMINOLOGY
2016-12-01 11:26
Before discussing drug behavior, it’s important to become familiar with some basic terminology.  Much of this terminology originates from the field of pharmacology, or the study o… Read More
ADDICTIVE BEHAVIOR
2016-12-01 11:20
Experts in human behavior view drug use and abuse as just one of the many forms of addictive behavior.  Such behavior includes addictions to shopping, eating, gambling, sex, television… Read More
PRESHA YA MACHO HUSABABISHA UPOFU
2016-11-30 03:42
Glaucoma au presha ya macho ni ugonjwa unaoweza kusababisha upofu usipotibiwa kwa wakati.Tatizo hili linatokea kwenye mshipa wa fahamu ambao husafirisha taswira kutoka kwenye retina ya ubong… Read More
SHAMBULIZI LA MOYO (Heart Attack)
2016-11-29 12:20
Wakati gari likitegemea injini kuendeshwa barabarani, mwili wa binadamu hutegemea moyo na endapo utasimama kwa tatizo lolote basi shughuli zote hukoma.Magonjwa ya moyo ni miongoni mwa yasiyo… Read More

Share the post

Afya Na Kiasi

×

Subscribe to Afya Na Kiasi

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×