Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Technology Blogs  >  Mustapha MaDish Tech technology Blog  > 

Mustapha Madish Tech Blog


mustaphamadish.blogspot.com
All about Digital tv system installation Installation of Satellite Dishes Technical issue etc.
TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NDUGU ZETU !!
2017-06-24 18:51
Waislamu tupo ukingoni katika kukamilisha moja ya nguzo muhimu katika dini yetu kama ambavyo tumeongozwa kutekeleza..Leo ni chungu cha 28,bado siku moja ama mbili ili tumalize mfungo na tuin… Read More
OFFER YA AZAM TV 2017
2017-06-12 17:39
Azam tv inaendeleza kufanya vizuri na sasa ina Offer kwenye malipo ya mwezi!Bei ya kununua King'amuzi ni Tsh 135,000/= bila Ufundi wala KifurushiUfundi ni Tsh 30,000/=Vifurushi Bofya HapaOff… Read More
UNAZIJUA BEI NA OFFER ZA VING'AMUZI 2017!?
2017-06-12 12:18
Biashara ushindani hivyo kuna maboresho kila kukicha kwenye swala la kukidhi haja za wateja na leo nakuletea list ya bei za ving'amuzi kwa mwaka 2017 na jinsi ya kununua kwa bei hii:-Azam tv… Read More
OFFER YA DSTV 2017
2017-06-12 12:14
DStv inaendelea kufanya vizuri na sasa ina Offer kwa wateja wapya ukinunua King'amuzi kwa Tsh 79,000/= unapata na Kifurushi cha Bomba Tsh 19750 kwa mwezi mmoja!Ufundi Tsh 30,000/=Vifurushi B… Read More
2017-06-08 07:21
Siku zote tunasisitiza huduma bora bila kubagua uwezo wa wadau wetu ama sehemu uliyokuwepo ingawaje lawama zilikuwa nyingi kwa kuwapa ugumu wadau wetu ambao mlikuwa mnatuhitaji mliopo nje ya… Read More
2017-06-04 20:18
MADISH TECHNOLOGY INAHITAJI VIJANA ( sales ) WACHAPA KAZI WAPATAO 12 KWA MIKOA IFATAYO:-ArushaDar es salaam Dodoma MwanzaTanga ZanzibarWenye sifa zifatazo:-Uwe mtanzaniaUwe na umri 23 - 30Uw… Read More
2017-06-04 19:11
Hapa tunazungumzia ule mfumo wa CCTV CAMERAS ni katika kuhakikisha ulinzi wa mali yako ama eneo unalomiliki lipo salama kama si chini ya uangalizi wako muda wote,pasi kudanganywa wala kupitw… Read More
2017-05-31 22:21
Kwanza ukishakuwa Fundi moja kwa moja unaaminika kwa taaluma uliyonayo hivyo mteja ama jamii kwa ujumla wanajikuta wanaona unachofanya ama kusema ndicho sahihi kutokana na wadhifa wako hata… Read More

Share the post

Mustapha MaDish Tech

×

Subscribe to Mustapha Madish Tech

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×